Mliooa na kuolewa tujuzeni tafwadhali

Mliooa na kuolewa tujuzeni tafwadhali

Sijui kwanini.. siku hizi nasikitikia mabinti wanoolewa bado wadogo, naona hawajajipata vizuri.

Namshukuru sana mzee wangu kwa kumkataa mchumba wangu fulani in my very early 20's kwasababu ambazo niliona hazina msingi. Si tumependana? Hofu ya Mungu anayo na kazi anayo na mimi pia mambo yalikuwa yamenyooka, maisha yangesonga.

Nikaja kuolewa baadae sana miaka 10 baadae, na sasa naelewa mzee alichoona. Ningepotea, ningebaki tu mke wa fulani bila kuwa na nilichofanikisha hata kimoja. Mungu anakupa wa kufanana nae mnasaidiana wote kuwa watu bora zaidi
 
Kwani inamaana huyu Mwanaune aliyekataliwa na Baba mfano angekuoa inamaana angeziba njia zako zote za mafanikio?
 
Back
Top Bottom