Mliooa Mugabe anasema hivi,je hii ina ukweli?

Mliooa Mugabe anasema hivi,je hii ina ukweli?

Me kuna mmoja nilimwacha(ga) mapema kabisa baada ya kuja na hiyo proposal ya 'hadi tuoane'... nikamuuliza nikipata short call nitapataje msaada wa dharura? akajiuma uma... nikamdisqualify
Wewee!! Alikuwa sahihi kwani ndoa ndiyo inahalalisha mambo ya kula tunda
 
Aiseeee Mugabe kiboko ya mabishoo

First they ignore you, Then they laugh at you, Then they fight you, last you win.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom