Mliooa mnaupata wapi ujasiri huu?

Ni sawa na kuwaza nikipata gari mimi, simoi mtu, nitaliendesha hapa na wapi, unalipata gari mwisho wa siku kuna kipindi unampa mtu akuendeshe..

Haya mambo ukishakuwa ndio uje tuzungumze, vipi tunaishi nao, vipi tupo nao na hatukinaiani, we kwa akili zako ukioa miezi 6 mingi, ndoa hamna.
 
Mkuu kuna ndoa Mme analala sebuleni mke chumbani au mke analala chumba cha watoto mume analala chumba kengine....hzo ndoa bhna
Huo mfano ndio niko nao hapa muda huu, nimelala chumba kingine yeye Kalala chumba kingine na watoto, mwaka wa 3 sasa na maisha yanaenda.

Huyo mleta mada tunamshauri aoe tuu ndio atajua lililo bichi na lenye kuivaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine hatuelewi maana tumetoka kupasha viporo muda huu asante game za Yanga na Simba kwa kudhamini pambano... 😅 Alamsiki!
 
Huo mfano ndio niko nao hapa muda huu, nimelala chumba kingine yeye Kalala chumba kingine na watoto, mwaka wa 3 sasa na maisha yanaenda.

Huyo mleta mada tunamshauri aoe tuu ndio atajua lililo bichi na lenye kuivaa.
This s serious issue[emoji848][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…