KWELI hii ni changamoto Moja wapo kwa vijana utasaka pesa / utajir na utaupata!!! kimbembe MWENZA utae ish nae,,,,,, naiv umetafta kwa maumiv Makali utajir bas asilimia kubwa wengi wao hutakaga matawi size yao au izidi na wala isipungue matokeo yake unajikuta unaangukia PUA...... chamsingi usijikweze, usiwadharau wa chin yako, ishi maisha / hali ya kawaida,, usiangalie walio kwisha kung'aa hao wanao walio wang'alisha japo si wote, shiriki ibada na maombi yako muelekezee Mungu nae ATAKUSIKIA.