Mkuu tunaweza kuona na picha ya boss wake ili tucalculate risk kwa mwenye mke?
Wivu wa kijinga ndio unawasumbua. Kila Taasisi ina maadili yake, ni kosa kubwa kwa senior officer kufanya mapenzi na surbonate wake ikidhihirika ni mashtaka. Lakini je Idara zingine mbona ni hivo hivo, Secretary na Boss?? kama yanavyotokea kwenye nyanja za siasa, maofisi ya kiraia na hata hapo inawezekana hususan wote wanapokosa maadili. Tusiwahukumu askari tu hata idara zingine
Brother pole kwa mada hii. lakini hongera kwa kuwa na mke askari.Wivu wa kijinga ndio unawasumbua. Kila Taasisi ina maadili yake, ni kosa kubwa kwa senior officer kufanya mapenzi na surbonate wake ikidhihirika ni mashtaka. Lakini je Idara zingine mbona ni hivo hivo, Secretary na Boss?? kama yanavyotokea kwenye nyanja za siasa, maofisi ya kiraia na hata hapo inawezekana hususan wote wanapokosa maadili. Tusiwahukumu askari tu hata idara zingine