Usema ukweli.. kuna kipindi nawaza najikuta nacheka mwenyewe.. najiuliza hivi haya mambo ndio yapo hivi.. kipindi hiki ndio wanakuja kama wametumwa.. na ukiwacheki sasa kikuonekano ni wazuri kuliko hata unae taka kuwa nae.. na mbaya zaidi ukikumbukia mambo ya chumbani ndio kwisha kabisaMiluzi mingi ilimpoteza mbwa! Tafakari hayo
Asante sana mkuu. Message imenipa nguvu. "Nakushaur oa ,hizo pisi kali sio ww wa kwanza kuziona ,na ww usibweteke kwa kuona uko tofauti sana na wengine .kiufupi ao endeleza maisha yako omba ujaliwe watoto na familia bora yenye afya
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Usema ukweli.. kuna kipindi nawaza najikuta nacheka mwenyewe.. najiuliza hivi haya mambo ndio yapo hivi.. kipindi hiki ndio wanakuja kama wametumwa.. na ukiwacheki sasa kikuonekano ni wazuri kuliko hata unae taka kuwa nae.. na mbaya zaidi ukikumbukia mambo ya chumbani ndio kwisha kabisa
Hadi najiuliza inakuwaje.. napata changamoto hata kuwa huru kwa mtu ambae nahisi niingie kwenye ndoa.. kuna uhuru flani nampa hadi kwenye simu.. ila kuna kipindi najishtukia.. unajikuta ghafla sms imeingia..nime miss utamua wako.. najaribu kuzi block.. ingawa nae mwanamke anajua background yangu, ila ni mtihaniHiyo ipo sana na e wako wanataka warud kabis
Ha ha ha ha! qmmkMkuu usioe kwanza subiri upevuke kiakili! Usichukulie kama kejeli ila nakushauri tu usioe kwanza utakuja kunishukuru baadae
Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka.
Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa.
Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light, yana show love la hatari, yani yana jari, mengine yananifata nilipo, alafu sasa kila siku naona pisi kali alafu ukigusa nazo hazichomi.
Napata mtihani mzito sana juu hili, ndio maana nimeona niwapongeze mlio vuka hapa. Kinachonipa shida sitaki kuja kula manzi nje ya ndoa ( sina ndoto ya ku cheat ).
Extrovert mrangi anasbo Ezekiel Mbaga Don Juan πππ
Mkuu ndoa sasa hivi unaona sarakasi zake ? Kuo kuna hitaji kujitoa kaka. Ndio maana hata kuna wazee sasa hivi amabo tuna hisi wamepevuka kiakili wanafanya madudu kwenye ndoa zao. Ndoa inahitaji kujitoaMkuu usioe kwanza subiri upevuke kiakili! Usichukulie kama kejeli ila nakushauri tu usioe kwanza utakuja kunishukuru baadae