Mliona msajili wa vyama alivyobanwa TBC?

Ccm is a Illegal political party in Tanzania, since the starting of multiparty system.
Because Ccm he could not regester to the new system which who where supposed
to do so, and that answer from Tendwa "Because it was already there"
That's was a wrong answer to the public, and my answer to Tendwa is
" Because it was already there in the one party system "
and not in the multiparty system.


 
Ccm is a Illegal political party in Tanzania, since the starting of multiparty system.
Because Ccm he could not regester to the new system which who where supposed
to do so, and that answer from Tendwa "Because it was already there"
That's was a wrong answer to the public, and my answer to Tendwa is
" Because it was already there in the one party system "
and not in the multiparty system.



Where is Rev Mtikila? Hapa kuna issue na inaweza ikawa na ulaji. Mtafuteni.
 
kweli jamaa jana alikiona cha moto maana alikasirika mpaka ikabidi yule mtangazaji arekebishe hali ya hewa
 
wale ambao hawakuona nawashauri pateni uhakika ni lini kinarudiwa ili muone mambo yalivyokuwa! Inaleta raha mambo mazito yanapoulizwa halafu mtu mzima anagwaya kwa kukosa jibu sahihi, eeeh maana maji yaliisha kwenye glasi!!
 
wakuu hakuna aliye record airushe kwenye yutube kwa manufaa ya Wtz?nataman kweli kumuona huyu mzee anavyo jitetea!
 
hivi huyu tendwa anatoka kwenye ile ofisi lini kwani kuwepo kwake kikatiba hakuna kikomo?
maana tangu nazaliwa namsikia hadi leo vipiiiiiii!!!!!, na atakoma kwa kuwa anafanya kazi kwa kusikiliza mawazo ya ccm what kind of msajiri is he? lol!!!!
 
Tendwa kawekwa na nani hapo?
Ni kibaraka tu huyo, hana lolote!
 
Tatizo la Tendwa ni kuwa ingawa nafasi hiyo ya Msajili anapaswa kutekeleza majukumu yake akiwa huru, badala yake anaabuse hiyo nafasi kwa kujiegemeza kwa magamba, miongoni ya grave mistakes alizofanya akiwa registrar wa vyama ni hilo la kumkataza Lema asiende kwenye kampeni Arumeru, kwa madai kuwa Wazee wa huko watamdhuru, sasa amepata aibu ya mwaka, kwa kuwa Lema alikuwepo Arumeru fulltime, na hakupata madhara yoyote!!

sio alikuwepo tu,hapana...pia alisimama kwenye kituo kimoja kama wakala,nanikati ya watu wanaokubalika sana huko meru,wameru huwa ni majasiri sana katika kupigania haki,so lema was among of meru vampare
 
Tendwa anafanya kazi kwa mazoea ya mwaka 47,kwa mtu sampuli hiyo haoni wala hasikii anavyoona yeye ndio anataka na wengine waamini hivyo ni sawa na kipofu aliyeona tembo mara moja na akarudia tena upofu kila atakachosema utasikia ''kama tembo''
 
Naomba tuwanote kama hawa washenz.i ili mwisho wa siku tuwahukumu kwa kukata vichwa vyao hadharani
 
Back
Top Bottom