JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
afichae maradhi kifo humuumbua.
Kuhusu kuanguka kwa rais, ulikuwa na uchovu na mchoko wa kufanya kazi bila kupumzika vya kutosha. Hilo lilisemwa au hukulipenda?
Afichae maradhi kifo humuumbua.
Kuhusu kuanguka kwa Rais, ulikuwa na uchovu na mchoko wa kufanya kazi bila kupumzika vya kutosha. Hilo lilisemwa au hukulipenda?
Bi mkubwa wewe ni yupi kati ya hawa hapa chini? Ritz namuona kavaa kanzu nyekundu yuko battlefield hahahahahahaha.
Ila binafsi sijapenda dr wake alivyofanya kwani watampa wakati mgumu sana mama mwanasha na faraja sana kwa babu seya.....nafuta hii coment mungu kucha zangu weweeee
View attachment 202868
Afichae maradhi kifo humuumbua.
Kuhusu kuanguka kwa Rais, ulikuwa na uchovu na mchoko wa kufanya kazi bila kupumzika vya kutosha. Hilo lilisemwa au hukulipenda?
Hahahahahaaaaa Mpwa sijui Simiyu Yetu kaiona hii
Huruma kwa mama salma maana bado ni mbichi anahitaji gegedo
Afichae maradhi kifo humuumbua.
Kuhusu kuanguka kwa Rais, ulikuwa na uchovu na mchoko wa kufanya kazi bila kupumzika vya kutosha. Hilo lilisemwa au hukulipenda?
Kuumwa mguu kwa Mkapa haikuwa na haja hata magazeti kuandika, ile kutembea tu na gongo huku akichechemea, wenye akili zetu tukajua ni kazi ya mikono ya mama Anna.
Nchi kwa matukio hii! Ushakua msamiati sasa,kila nipitapo nasikia tezi dume.
Jk ni mfanyakazi ambae hajawahi kufanya kazi sijui huo uchovu alipataje? Nafikiri ungesema uchovu wa kusafiri bila kupumzika lakini suala la kazi unamsingizia, kama una ushahidi orodhesha hizo kazi zilizomchosha huyu mtalii
Kuumwa mguu kwa Mkapa haikuwa na haja hata magazeti kuandika, ile kutembea tu na gongo huku akichechemea, wenye akili zetu tukajua ni kazi ya mikono ya mama Anna.
Kila kitu cha maendeleo katika Tanzania kafanya zaidi ya Marais wote watatu waliomtangulia na hilo halina ubishi.