MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,292
- 39,975
Kigwangalah should learn to MOVE ON... He is not the only citizen who deserves to be a minister. Hata Lucas Mwashambwa anaweza kuteuliwa na rais kuwa mbunge na akawa waziri siku hiyohiyo. Ile ni nafasi ya kisiasa tu haina uzito kama ukatibu mkuu wa wizara. Huyu jomba kila siku anatoa kilio kwa kutokuwa waziri. Leo katoa mapovu hatari kwa sababu ya kunyimwa kitalu cha uchimbaji madini huko msitu wa Kigosi. Ila hao wagawa vitalu ni makauzu kinyama...😄😄. Yaani katika vitalu 3000 ikashindikana kummegea kimoja Kigwangala?
View: https://www.instagram.com/p/DKCGZ-OIiw0/?igsh=MXg1Nm0zZTdtZGltag==
View: https://www.instagram.com/p/DKCGZ-OIiw0/?igsh=MXg1Nm0zZTdtZGltag==