Mliokwepo Morogoro miaka ya 90's mnawakumbuka Wasanii na Makundi haya?

We inaelekea unawajua kinoma,,ila nammiss NASH G mzee wa mambo bado ,mambo bado,
,,mkuu na wale walioimba na juma nature kiitikio aliimba Nature kinasema hivi"MAISHA TUNAYOISHI MOROGORO NI KIMKANDAMKANDA
VYAKULA BEI ZINAPANDA
INGAWA RAHA HAZIPO LAKINI TUNAISHI,
MUNGU YUPO MUNGU YUPOOOOO" waliitwaje? Ila mi sio wa morogoro
Hao jamaa siwapati ata hivyo era ya Juma Nature mimi sikiwepo moro.
 
Hivi kuna jamaa sijui alikua anaitwa master brosi au sijui nani aliimba mwimbo kuna SAA Mimi nakakaa najiuliza, ...... Haya maisha ninayoishi Mimi unakaa najiuliza sana, sijui nitokako sijui niendako nn maana ya maisha. Nakumbuka alikua moro
 
Watukutu.Hapa ni Swed,Puzzo,Salam na KeyDj
Wapayukaji.Hapa ni Doggy one,King killer,na Crazy P
ZdonP.Hapa ni Nash G,Squeezer na yusuph
BoyG.One man show
Dabble G.Sikumbuki
N.k...Promotes wakiongozwa na Mussa Maurusi
Battle ilikuwa Dar moro nani zaidi,Kiwanja kilikuwa rock garden,Moro hotel na Mango park.
Hapo hata Afande sele hajulikani kama yupo au atakuja kuwepo.
Konseti zilikuwa Forest hill zikiongozwa na Puzzo lee.Dj maarufu Peter moo,John K na Dilinga
Hivi hayo makundi yameishia wapi.Na hao watu wapo wapi kwa sasa.au ndio hawa wanaovuma wamebadili majina.
Ulikuwa himaya ipi mkuu?
 
Moro ilikuwa vizuri sana zamani. Kuanzia 🎵 hadi ⚽. Kulikuwa kunapigwa ndondo pale uwanja wa shujaa sio mchezo. Mji una vipaji sana ule. Tuliokulia na kuona Moro ile tuliinjoy sana. Nash G kuna kipindi alikuwa anatangaza Abood FM.

Naomba nijifunze wadau, kuna Tozi nyangema fulani hivi miaka ya 2000 alikuwa maarufu sana Moro kila alipokuwa anapita watu wanamshangilia amepotelea wapi?
 
Wengi hudhani hivyo lkn Mbaraka Mwinshehe si wa Morogoro..ni wa Kisarawe Pwani..moro alikua kikazi tu..Mbaraka mwinshehe alipokufa kenya alikuja kuzikwa Tanzanian katika Kijiji chake cha asili Mzenga kilichopo huko kisarawe
Uko sawa kabisa
 
We inaelekea unawajua kinoma,,ila nammiss NASH G mzee wa mambo bado ,mambo bado,
,,mkuu na wale walioimba na juma nature kiitikio aliimba Nature kinasema hivi"MAISHA TUNAYOISHI MOROGORO NI KIMKANDAMKANDA
VYAKULA BEI ZINAPANDA
INGAWA RAHA HAZIPO LAKINI TUNAISHI,
MUNGU YUPO MUNGU YUPOOOOO" waliitwaje? Ila mi sio wa morogoro

Huyo NASH G alikuwa anaiga style ya AY enzi hizo AY akitamba na style yake ya commercial .. AY nae aliiga toka kwa SAIGON.. zamani ilikuwa hutoki bila kuiga style ya msanii aliyetoka tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom