Mliokwepo Morogoro miaka ya 90's mnawakumbuka Wasanii na Makundi haya?

!
!
Mc ndolo mpaka anafariki alikuwa mnyamwezi. Alikuwa mjanja sana yule bwana alikuwa ananyuka pamba ambazo daaaah jamaa alikuwa bishoo bishoo kweli ngoma isingeweza kumwacha. Nilikuwa na Kaka yangu nae alikuwa anashika kipaza kipindi hicho alikuwa anaitwa Papo Dilo au kifupi tu Dilo. Ni Kaka yangu kabisaaa
Umeskia dogo papo d mwanangu wa damu.nina kumbukumbu zote hizo nae.dah kweli happy days never return.
 
Umeskia dogo papo d mwanangu wa damu.nina kumbukumbu zote hizo nae.dah kweli happy days never return.

!
!
Papo D daaaah long time sana. Alikuwa ni mtoto wa kwa mama zangu. Basi unakuwa unawajua ndugu zangu kibao tu maana kuna geto Lao lilikuwaga maeneo ya Kota flani hivi nimesahau walikuwa wanyamwezi sana Kaka zangu wale. Kuna mmoja hadi kesho yuko mbele alikuwa anaitwa Andrew Washington
 
Moro(warugulu) mlikuwa na wasanii wa ajabu ajabu,mimi wa Dar ungeniuliza KU CREW au Diplomatz..Subiri wakuja wenzio watakujibu tu usijali.
 
!
!
Ndio kwetu kule aisee akina taima akina Bogota akina okwonkwo akina skwiza sijui wooote hao ni mabroo. Kijiweni ni Ganga au kule juu maliasili au kunduchi

Hahaha huyu okonkwo kama ndio yeye alokuwa anakaa kota za national housing na washkaji zake walituwekea wanted nakumbuka ilikuwa noma amani ilitoweka hostel, waliwazingua washkaji zetu pale kontena mpaka ikabidi tukawaombe amani. Jamaa alikuwa mbabe ana nguvu sana.
 
Yap yap ndio huyo huyo mpaka Leo wapo kule kwenye zile Kota. Palikuwaga na hostel flani mtaa ule imepakana n forest enzi hizo palikuwa na hostel kama tatu tu..... Hiyo ya huko juu.. Kwa muro na mademu walikuwa wanakaa hostel ya kwa mwambange kule maliasili
 
Manzese uswazi na wezi wengi ndo pande zqo hzo. Pia kuna chamwino, mji mpya, mwembe songo, mafisa, kichangani
pande za CH napapata flesh sana, kuna kwa mahita, kona camp, chamwino makondeko, halafu na kwa kina Salum ditwi kule walikuwa mdundiko na mchiriku kila siku unagongwa...umenikumbusha mbali aiseeh, chamwino kweli kule ukiwa legelege huwezi kuishi
 
Bwana Banzi naona wewe mluguru pure. Mimi maisha yote nipo Moro chamwino nmeenda mara moja tu yani
 
Bwana Banzi naona wewe mluguru pure. Mimi maisha yote nipo Moro chamwino nmeenda mara moja tu yani
ni kweli mluguru mi ni mluguru pure Mrs Ivan, jumlisha na uzaramo wa dutumi kibaha vijijini, mimi miaka ya 90's nimekaa sana moro chamwino,kwa mangi dolee tulikuwa tunacheki video pale,,,,,
 
Sallam kwa sasa ni meneja wa WCB.

Peter Moe ni DJ wa clouds fm.

Puzzo Makassy alikuwa Sweden .

Swedi kafulia.

Boy G kafa kwa gongo za kichangani.

Nash G anaangaika tu na dunia.

Squeezer kafulia.

Crazy P kwa sasa O Ten anauza chips mjini hapa.

John Dilinga anafanya biashara pia anapiga mziki kempisky kila weekend.

Wengine sikumbuki ila kiboko yao wote alikuwa Mc Ndolo marehemu aliyekufa kwa ngoma. Mnyawezi mipaka hivyo.
We inaelekea unawajua kinoma,,ila nammiss NASH G mzee wa mambo bado ,mambo bado,
,,mkuu na wale walioimba na juma nature kiitikio aliimba Nature kinasema hivi"MAISHA TUNAYOISHI MOROGORO NI KIMKANDAMKANDA
VYAKULA BEI ZINAPANDA
INGAWA RAHA HAZIPO LAKINI TUNAISHI,
MUNGU YUPO MUNGU YUPOOOOO" waliitwaje? Ila mi sio wa morogoro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom