Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Jamani mlioko ndoani ndani ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje?

Yaani mmewezaje kuishi wawili mpaka miaka hiyo

Yaani mimi miaka 2 tu natamani dunia igeuke kichwa chini miguu juu.Yaani ukimuona mwenzio unapata hasira gafla.

Akisafiri unatamani asirudi dah!

Mmewezaje jamani nipeni mbinu
 
Jaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo

Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
Pole sana.
Mbona mmeanza kuchokoana mapema sana?
I have been married for over 10 yrs now, kwangu miaka mitatu ya kwanza was like a honey moon period. Mahaba mazito mazito, hamna kugombana, amani na upendo vimetamalaki. Miaka mitatu iloyofuatia ilikua na rabsha za kutosha... ila we got through it.
Hakuna formula as such.
Kabla ya kuoana mliishi pamoja for sometime? Na mli date kwa muda gani?
 
Sina zaidi...
IMG-20200320-WA0095.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona rahisi!
punguza mihemko
punguza kutaka mwenzako awe kama unavyotaka,
timiza majukumu yako kama mwanamke wa kiAfrika na Siyo wa Kizungu.
wachana na Mambo ya equality.. Utabaki unaumia tu.
Weka Imani yako kwa Mungu wako yeye ni zaidi ya Mwanaume unaempa muda wako mwingi.
At last punguza Matarajio.
he's a Human like any other human,Find a reason of why you loved him at first and why are you hating him now....
ukipata jirekebisheni uendane na beat.
 
Jaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo

Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
Mkuu, Katika ndoa hamna cha miaka 5, 10 au 20 kila siku ni mpya any thing strange can happen maamuzi ya ndoa ni kichwa chako.........ndoa ikigoma imegoma tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni sanaa,hv wewe ndo muke wa boss melo?muanzilishi wa jf?
Pole sana.
Mbona mmeanza kuchokoana mapema sana?
I have been married for over 10 yrs now, kwangu miaka mitatu ya kwanza was like a honey moon period. Mahaba mazito mazito, hamna kugombana, amani na upendo vimetamalaki. Miaka mitatu iloyofuatia ilikua na rabsha za kutosha... ila we got through it.
Hakuna formula as such.
Kabla ya kuoana mliishi pamoja for sometime? Na mli date kwa muda gani?
 
Mbona rahisi!
punguza mihemko
punguza kutaka mwenzako awe kama unavyotaka,
timiza majukumu yako kama mwanamke wa kiAfrika na Siyo wa Kizungu.
wachana na Mambo ya equality.. Utabaki unaumia tu.
Weka Imani yako kwa Mungu wako yeye ni zaidi ya Mwanaume unaempa muda wako mwingi.
At last punguza Matarajio.
he's a Human like any other human,Find a reason of why you loved him at first and why are you hating him now....
ukipata jirekebisheni uendane na beat.
Umemaliza kila kitu , mtoa mada pitia post hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo

Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
Kabla ya kuingia ndoani unatakiwa kujua yafuatayo:-
1. Lengo hasa la kuingia ndoani
2. Unachokitafuta ndoani
3. Mambo ya kuepuka ukiwa ndoani
4. Mambo ya kufanya ukiwa ndoani
5. Namna ya kutatua mizozo ya ndoani
6. Uvumilivu/ustahamilivu/subira

Ukiona ndoa imedumu sana basi lazima ujue kuna mmoja mstahamilivu/mvumilivu/mwenye subira katika ndoa hiyo.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Mbona rahisi!
punguza mihemko
punguza kutaka mwenzako awe kama unavyotaka,
timiza majukumu yako kama mwanamke wa kiAfrika na Siyo wa Kizungu.
wachana na Mambo ya equality.. Utabaki unaumia tu.
Weka Imani yako kwa Mungu wako yeye ni zaidi ya Mwanaume unaempa muda wako mwingi.
At last punguza Matarajio.
he's a Human like any other human,Find a reason of why you loved him at first and why are you hating him now....
ukipata jirekebisheni uendane na beat.
Ahsante..itanisaidia baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, shida imeanzia wapi ?, kuna kitu mmekoseana na hamjasuluhishana?, hatari hii yaani mmefikia kukasirikiana hivo ,watu tunatamani kuingia huko ila kama ndiyo hivo mmh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha woga.
Ukiingia ndoani ukiwa na majawabu mfukoni utayumba sana.

Watu tuna miaka 32 bado utafikiri tuko kwenye uchumba.
Mkichukuliana kama mwili mmoja hakika yote yanakuwa yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndoa yenu inapitia kipindi cha ukambale, kila mtu anajiona bora kuliko mwenzake
Amna anayekubali mapungufu yake au kuyakubali mapungufu ya mwenzake.
Ila tu nikuambie ndoa karibu zote zilipitia hicho kipindi na msingi wa ndoa unajengwa kwenye hichi kipindi mkishindwa kukihimili hichi kipindi ndoa inasambaratika au ndoa itadumu lakini haitokuwa ni ndoa yenye furaha daima
 
Jaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo

Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
Ngoja nilale nicharge akili kwanza kesho ntakuja kukwambia nimewezaje.

Nina miaka zaidi ya mitano na Mama Abouy bado ni king'asti kwangu.
 
Back
Top Bottom