Kuna Barabara inaitwa International road,je umeona wanawake wanavyosukuma magari kuelekea mjini kati.Kwa Dsm bado hujafika Rudi tema mara tatu Tena unde Tegeta,mwenge,Kinondoni ,Kimara,Mbezi beach mitaa ya ngedere, Airport,Tabata na Kinyerezi na maeneo yake ndo uje na ushauri.Yawezekana pisi kali hutegemea na maeneo. Nilitoka Magufuli terminal , straight to Mnazi mmoja, then from Mnazimmoja straight to Magufuli terminal.
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Maisha yao ni haya hapa 👇Salama wakuu!
Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.
Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh
Kilichonikera ni lile jua tu!
Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...
Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kila nikiwaelekezaga chugah panzuri wanabaki kusema dar panzuriYupo sahihi kama ametokea ChugA, darajani kuelekea na kurudi toka huko Duniani..Dar is overrated… nchi ingeendeshwa kimajimbo ChugA ingekuwa kama California.
Labda kwa kugawa makalio kwa wazungu kama wafanyavyo marasta wa chuga.Yupo sahihi kama ametokea ChugA, darajani kuelekea na kurudi toka huko Duniani..Dar is overrated… nchi ingeendeshwa kimajimbo ChugA ingekuwa kama California.
[emoji38][emoji38][emoji38]Salama wakuu!
Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.
Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh
Kilichonikera ni lile jua tu!
Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...
Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
😆😆😆😆😆😆Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...
MakumbushoNiliambiwa Mnazi mmoja kuna sampuli za watu wote wa kutoka maeneo mbalimbali ya JIJI la Dsm.
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Watu ea Arusha mna unazi sana na kimkoa chenu, ukifika pale utachoka kinaazia ngarenaro kinaishia ngarenanyuki kwingine kote ni wamasai tuDSM haiwezi kuwa na pisikali kama Pisi za Arusha.
Watu ea Arusha mna unazi sana na kimkoa chenu, ukifika pale utachoka kinaazia ngarenaro kinaishia ngarenanyuki kwingine kote ni wamasai tu
Kuna harufu gani huku Daslam? Nasikia jiji linanukia Marashi tuSalama wakuu!
Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.
Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh
Kilichonikera ni lile jua tu!
Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...
Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Magufuli terminal na Mnazi mmoja zipo Shinyanga?Kwa vile hukuwahi kufika dar, unawezaje kuithibitishia mahakama hii tukufu kuwa Huko ulikopelekwa ni dar kweli na si Ngokolo shinyanga?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji116]Dar esalaam panataka use
na pesa laa sivyo utakuwa unatingisha sharubu tu wenzio wakila bata