Yupo sahihi kama ametokea ChugA, darajani kuelekea na kurudi toka huko Duniani..Dar is overrated… nchi ingeendeshwa kimajimbo ChugA ingekuwa kama California.Hiyo point ya mwisho unachekesha ndugu bora ungenyamaza
Yawezekana pisi kali hutegemea na maeneo. Nilitoka Magufuli terminal , straight to Mnazi mmoja, then from Mnazimmoja straight to Magufuli terminal.Hiyo point ya mwisho unachekesha ndugu bora ungenyamaza
Salama wakuu!
Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.
Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh
Kilichonikera ni lile jua tu!
Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...
Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Utakua mlugaluga wewe..rudi kwenu ngarenaro.Salama wakuu!
Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.
Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh
Kilichonikera ni lile jua tu!
Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...
Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Mnazi mmoja, sio Dsm mkuu?Kwa vile hukuwahi kufika dar, unawezaje kuithibitishia mahakama hii tukufu kuwa Huko ulikopelekwa ni dar kweli na si Ngokolo shinyanga?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂 huyu bwege nazi anahisi mnazi mmoja ndio DSM nzima?
Niliambiwa Mnazi mmoja kuna sampuli za watu wote wa kutoka maeneo mbalimbali ya JIJI la Dsm.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu bwege nazi anahisi mnazi mmoja ndio DSM nzima?
Siku ingine ukija uandae laki 2 ya mafuta nitakutembeza bure mji mzimaNiliambiwa Mnazi mmoja kuna sampuli za watu wote wa kutoka maeneo mbalimbali ya JIJI la Dsm.
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Pisi kali dsm ziko bize na kazi bosi, ukuje weekndHiyo point ya mwisho unachekesha ndugu bora ungenyamaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili mtu wangu . ...yani nikupe laki 2 afu unitembeze bure!!!!Siku ingine ukija uandae laki 2 ya mafuta nitakutembeza bure mji mzima
Kumbe ni weekends tuPisi kali dsm ziko bize na kazi bosi, ukuje weeknd
Amekueleza laki mbili ni za mafuta ya gari.Siyo posho yake.Ndiyo maana wamekufikisha Kibaha wakakuongopea ni Mnazimmoja.Acha wenge getegete![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili mtu wangu . ...yani nikupe laki 2 afu unitembeze bure!!!!
Hahahahahah
Ujue nacheka nini....ahahaha...HII NI MAAJABU!!!!
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app