Mliofaulu kulipa kodi ya viwanja na majengo kupitia mitandao ya simu

MPHINGU

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
518
613
Wadau katika siku zilizopita TRA kupitia kwenye mitandao ya simu, walikuwa wakituma SMS za maelekezo namna ya kulipia kodi ya majengo na viwanja kupitia makampuni ya simu.

Kwa upande wangu, mimi nilijitahidi kulipia kwa mtindo huo nikashindwa. Sasa kama kuna wadau waliofanikiwa kulipia kwa style hiyo, watupe mbinu walizotumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom