interview ilikua fair ambao hawakukimbia chemistry!!!
interview ilikua moja,oral interview tu!! watakaopita wamepita
Vp hamkuambiwa mzunguke uwanja,kwa kukimbia?
Wakaguzi si wakimbiaji. Coplo na constebo ndo wakimbiaji so jiandaeni kukimbia. Mtanikuta pale, sicheki na vijana wavaa kata k.