Mliochaguliwa Ardhi - The unique university, tukutane hapa

Mliochaguliwa Ardhi - The unique university, tukutane hapa

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
2,291
Reaction score
798
una swali lolote kuhusu hostel, usajiri,degree programs,usalama, nk. basi usisite kuuliza
 
Kuna dogo ka chaguliwa apo arhi coz ya environmental science wa weza mpa details kidogo ya hii coarse
 
Kuna dogo ka chaguliwa apo arhi coz ya environmental science wa weza mpa details kidogo ya hii coarse
ni degree inayohusu mazingira, ikuhusiha vyanzo vyanzo vya maji, mimea, na mazingira kwaa ujumla. katika ujenzi wa majengo wanasimamia swala zima la usalama kwanza wa vibarua na wajenzi, wapita njia, wakazi, na mazingira kwa ujumla.
wanaweza kufanya kazi halmashauri kuilinda na kuitetea sharia ya healthy safety, OSHA, wizara ya ardhi nyumba na makazi, wizara ya maji na idara zake zote, wizara ya ujenzi na mashirika yanasimamia mazingira na kama unavyojua mazingira ni hot issue global now, kwa hyo fursa zipo ni kusoma, kijiani , kuzitambua fursa and work upon.
 
Yeah umeeleweka but vp ajira zake kwa kuajiliwa zipo kwel..
 
Msaaada kwa koz ya land valuation ndugu?
land evaluation ndio degree inayosemekana ni ngumu Zaidi, japo wapo wanamaliza bila kupata supplementary. kumaliza na gpa ya 2.0 ni kawaida sana kwani hawa jamaa wanasoma vitu vigumu sana, na ofcourse walimu wanachangia kwa upande flani, kwa hyo ndugu uje umejiandaa kisaikolojia kabisa. sikutishi lakini ukizingatia, ukijituma,nidhamu huwez kuingia katika mgogoro na mwalimu yeyte,

Ardhi ndio chuo pekee Tanzania kinachotoa products na land valuers, kwhy ni kujipanga uweze kumaliza. land valuers wanatumika kutathimini thamani ya viwanja na nyumba. serikali huwatumia hawa inapolazimika kuwalipa fidia wananchi ili kupisha ujenzi wa barabara, muwekezaji au mradi wowote.

wanafursa serikalini hasa wizara ya ardhi nyumba na makazi na kujiajiri kwa kuwa consultants ili kuwasaidia watu binafsi, makampuni na mashirika kutathini majengo na ardhi wanazomiliki, pia katika mabenki ili kuwasaidia wakitaka kutoa mikopo kwa watu wanao weka nyumba au ardhi au majengo kama security.

nakutakia maandalizi mema
 
Yeah umeeleweka but vp ajira zake kwa kuajiliwa zipo kwel..
hakuna kazi ambayo haina ajira, kikubwa ni kuelewa kazi, kuzitambua fursa na kuzitumia. ukibweteka nyumbn hakuna atakayekufuata akupe ajira. kwhy wakati unasoma ni bora utengeneze network mapema mara umalizapo tu chuo makampuni wakutafute, sio wwe ndio utafute makampuni
 
hahaa tafuta chimbuko la bsc.gen ndo utajua env sci n mtoto kwa general ila simshangai uyo wa kujiita mzee wa kismati!
 
Back
Top Bottom