Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Duh....hivi gold crest imeishinda lile la nssf(not hotel), maji house nkgorofa ndefu naona tu goldcrest
Duh....hivi gold crest imeishinda lile la nssf(not hotel), maji house nkgorofa ndefu naona tu goldcrest
Huu mji Ni wa kilimo Cha miti sio biashara miji ya biashara Ni makambako tunduma na kahamaMafinga sio mji wa kibiashara? Is this a joke or?
Mafinga ni zaidi ya mji wa biashara! Zaidi ya 25% ya mbao zinazotumiwa TZ hii zinatoka Iringa - Mafinga na Kilolo! Bado unasema Mafinga sio mji wa biashara?
Kuna mashamba ya chai pale! Kuna kilimo cha mahindi na matunda Kwa wingi! Ulitaka biashara gani boss wangu?
Mikumi ipo Morogoro!ALiyekwambia yale magorofa ni hotel nani?
Iringa sio mji wa kibiashara ni mji wa kupumzika na mji wa kiofisi.
Yale magorofa mengi ni ofisi na na baadhi floor za chini ndio wanaweka biashara..
Mbeya ina muingiliano na watu wengi pia Matajiri wa pale mbeya sio wazawa wa pale ndio mana hawataki kujenga hayo magorofa wanajenga kwao,hata wenye magorofa pale mbeya sio wanyakyusa,wasafwa wala wanyika wengi wao ni wakinga ambao ni watu wa iringa..
Ruaha iringa
Isimila iringa
Kalenga iringa
Mikumi iringa
Wataliii ni wengi
Mzee naona unakipigania kijiji chako cha Makambako kila thread 😂😂😂😂Huu mji Ni wa kilimo Cha miti sio biashara miji ya biashara Ni makambako tunduma na kahama
Kama hili ndio jengo refu Iringa nzima basi tayari mmeshakalishwa chini na Mbeya City mzeeMfano Hans Poppe nadhani ndio ana jengo refu kuliko majengo yote Iringa town. Nadhani kawekeza kwao...
View attachment 1106403
Ndio yamefanyaje sasa mkuuMbeya matememeko ardhi ya kimya kimya yako kibao .
Iringa Ni hub??... Iringa ni hub ya East, North, Central, South. Halafu Mto Ruaha unaleta mandhari nzuri sana pale Iringa town; sema akili zetu kiduchu tu, kwa mto ule, Iringa ingeweza kuwa level ya London kimandhari. Sitashangaa kusikia kuna mgao wa maji Iringa kwa akili zetu hizi.
Ngumu kumeza,unafuata fursa au unajenga kujifurahisha kwenu?ALiyekwambia yale magorofa ni hotel nani?
Iringa sio mji wa kibiashara ni mji wa kupumzika na mji wa kiofisi.
Yale magorofa mengi ni ofisi na na baadhi floor za chini ndio wanaweka biashara..
Mbeya ina muingiliano na watu wengi pia Matajiri wa pale mbeya sio wazawa wa pale ndio mana hawataki kujenga hayo magorofa wanajenga kwao,hata wenye magorofa pale mbeya sio wanyakyusa,wasafwa wala wanyika wengi wao ni wakinga ambao ni watu wa iringa..
Ruaha iringa
Isimila iringa
Kalenga iringa
Mikumi iringa
Wataliii ni wengi
Kiungo au kituoHub ya kitu gani mkuu hebu fafanua
Kiungo au kituo
Kuishi ghorofani raha wewe unaiwahi oxygen kabla haijafika kwa wote.Huyu alinihamasisha sana ujenzi wa ghorofa majibu yake nitampa yako njiani maana anapenda sana magorofa
Kuishi ghorofani raha wewe unaiwahi oxygen kabla haijafika kwa wote.