Pata kibwagizo
Hamtuwashiii, hamtuzimii
Mwaona donge la nini
Kama mnaweza pandeni juu mkazibe
Wanadamu walimwengu kama familia yetu yawakera, mbona watakereka sana
Na watakereka sana
Jicho la kutuonea hawanalo walimwengu
Wanatuonea haya aloturuzuku Mungu
Ya shari watuombea yatufike walimwengu. .....