Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,369 Reaction score 176,202 May 17, 2017 #1,681 Nalendwa said: Kumbe mdogo wako kaopoa?, mpe hongera! 🙂 Click to expand... Yaani sijui nani kalivanga hili ndanga!!
Nalendwa said: Kumbe mdogo wako kaopoa?, mpe hongera! 🙂 Click to expand... Yaani sijui nani kalivanga hili ndanga!!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,369 Reaction score 176,202 May 17, 2017 #1,682 Khantwe said: Akiona ujumbe huu labda ataelewa...namwambiaga mi waifu matirio ila haniamini kabisa Click to expand... Hahaaaa!! Mke mwenza habari za masiku!
Khantwe said: Akiona ujumbe huu labda ataelewa...namwambiaga mi waifu matirio ila haniamini kabisa Click to expand... Hahaaaa!! Mke mwenza habari za masiku!
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 May 17, 2017 #1,683 espy said: Hahaaaa!! Mke mwenza habari za masiku! Click to expand... Tokapa na wewe we ndo kinara wa kuniharibia
espy said: Hahaaaa!! Mke mwenza habari za masiku! Click to expand... Tokapa na wewe we ndo kinara wa kuniharibia
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,369 Reaction score 176,202 May 17, 2017 #1,684 Khantwe said: Tokapa na wewe we ndo kinara wa kuniharibia Click to expand... Mie tena jamani!! Hadi mume nilikuachia ukamshindwa mwenyewe. Kaboom anadai kukaa na wewe wiki tu akazeeka ghafla!! Hapo mie nimekuharibiaje?
Khantwe said: Tokapa na wewe we ndo kinara wa kuniharibia Click to expand... Mie tena jamani!! Hadi mume nilikuachia ukamshindwa mwenyewe. Kaboom anadai kukaa na wewe wiki tu akazeeka ghafla!! Hapo mie nimekuharibiaje?
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 May 17, 2017 #1,685 Khantwe said: Akiona ujumbe huu labda ataelewa...namwambiaga mi waifu matirio ila haniamini kabisa Click to expand... Matirio ya kichina ama??
Khantwe said: Akiona ujumbe huu labda ataelewa...namwambiaga mi waifu matirio ila haniamini kabisa Click to expand... Matirio ya kichina ama??
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 May 17, 2017 #1,686 espy said: Mie tena jamani!! Hadi mume nilikuachia ukamshindwa mwenyewe. Kaboom anadai kukaa na wewe wiki tu akazeeka ghafla!! Hapo mie nimekuharibiaje? Click to expand... unaona sasa mineno yako? Umetumwa na shetani wewe sio bure
espy said: Mie tena jamani!! Hadi mume nilikuachia ukamshindwa mwenyewe. Kaboom anadai kukaa na wewe wiki tu akazeeka ghafla!! Hapo mie nimekuharibiaje? Click to expand... unaona sasa mineno yako? Umetumwa na shetani wewe sio bure
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 May 17, 2017 #1,687 Kaboom said: Matirio ya kichina ama?? Click to expand... Dadeki.. hivi wewe na mkeo mnanitakia nini mimi?
Kaboom said: Matirio ya kichina ama?? Click to expand... Dadeki.. hivi wewe na mkeo mnanitakia nini mimi?
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 May 17, 2017 #1,688 espy said: Mie tena jamani!! Hadi mume nilikuachia ukamshindwa mwenyewe. Kaboom anadai kukaa na wewe wiki tu akazeeka ghafla!! Hapo mie nimekuharibiaje? Click to expand... Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu
espy said: Mie tena jamani!! Hadi mume nilikuachia ukamshindwa mwenyewe. Kaboom anadai kukaa na wewe wiki tu akazeeka ghafla!! Hapo mie nimekuharibiaje? Click to expand... Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 May 17, 2017 #1,689 Khantwe said: Dadeki.. hivi wewe na mkeo mnanitakia nini mimi? Click to expand... Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..
Khantwe said: Dadeki.. hivi wewe na mkeo mnanitakia nini mimi? Click to expand... Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 May 17, 2017 #1,690 Kaboom said: Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu Click to expand...
Kaboom said: Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu Click to expand...
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 May 17, 2017 #1,691 Kaboom said: Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa.. Click to expand... Unanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwako
Kaboom said: Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa.. Click to expand... Unanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwako
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 May 17, 2017 #1,692 Khantwe said: Click to expand... Kisses
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 May 17, 2017 #1,693 Khantwe said: Unanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwako Click to expand... Heaven Sent Douta nakumbuka ulinifundisha jibu la hiyo kauli..Embu nikumbushe
Khantwe said: Unanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwako Click to expand... Heaven Sent Douta nakumbuka ulinifundisha jibu la hiyo kauli..Embu nikumbushe
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 May 17, 2017 #1,694 Kaboom said: Kisses Click to expand... Umemiss eeh?
griffin2 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 694 Reaction score 837 May 17, 2017 #1,695 Daby said: Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya. Click to expand... kwani id mpya inaondoa harufu ya uzee mkuu?
Daby said: Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya. Click to expand... kwani id mpya inaondoa harufu ya uzee mkuu?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,369 Reaction score 176,202 May 17, 2017 #1,696 Kaboom said: Matirio ya kichina ama?? Click to expand...
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 May 17, 2017 #1,697 Khantwe said: Umemiss eeh? Click to expand... We haujamiss?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,369 Reaction score 176,202 May 17, 2017 #1,698 Khantwe said: unaona sasa mineno yako? Umetumwa na shetani wewe sio bure Click to expand... Akuuu hayo maneno sio yangu ujue!! Ni ya mume nilokuachia ukamshindwa mwenyewe. Ndio nini kunizeeshea baba wa wanangu mapema hivyo!!!
Khantwe said: unaona sasa mineno yako? Umetumwa na shetani wewe sio bure Click to expand... Akuuu hayo maneno sio yangu ujue!! Ni ya mume nilokuachia ukamshindwa mwenyewe. Ndio nini kunizeeshea baba wa wanangu mapema hivyo!!!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,369 Reaction score 176,202 May 17, 2017 #1,699 Kaboom said: Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu Click to expand... Ndio ukome, si uliyataka mwenyewe!
Kaboom said: Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu Click to expand... Ndio ukome, si uliyataka mwenyewe!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,369 Reaction score 176,202 May 17, 2017 #1,700 Kaboom said: Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa.. Click to expand... Ama kweli when love dies!!
Kaboom said: Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa.. Click to expand... Ama kweli when love dies!!