Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..
Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
Haha me nilivyokuwa 20s wengi wakawa wanaona kama my age ni kikwazo, eti bado mtoto. Now in my 30s demand naona inanishinda kabisa. ..old wine thing you know woram saying
Haha me nilivyokuwa 20s wengi wakawa wanaona kama my age ni kikwazo, eti bado mtoto. Now in my 30s demand naona inanishinda kabisa. ..old wine you know woram saying