Ila
Daby Maisha yenyewe haiyahitaji hasira hayaaa...
ID mpya ikiwa palatable pelekea tongozo ikielekea kibla jiandae kuchinja
Ukifika eneo la tukio ukikuta ulishapitiamo
msijiulize kuraaa tenaaaa alafu badae mnajichekaaaa then life goes on.
Mi kuna wawili nawatamaniaaa basi tu nipo nna "ndoano".