Chadema imeishia kupongeza tuWafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa cdm imekufa kisa wabunge wake wamehamia ccm.
Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa cdm sasa imebakia jina MATAGA wakakenua meno.
Sasa nawaambia kuwa cdm ni sawa na mnyama katili na mvumilivu wa maumivu na sumu kali hata ya nyoka.
Cdm ilionewa sana na kama isingekuwa uongozi thabiti wa mh Mbowe leo hii cdm ingekuwa sawa na CUF,TLP na wenzake kina TADEA na NCCR.
Sasa cdm tumeanza kujiimarisha na kuthibitisha kuwa sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
......https://www.instagram.com/p/CPbCqPNAZmp/?utm_medium=copy_link
Dj ameshindwa kulipa mishaharaWafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa cdm imekufa kisa wabunge wake wamehamia ccm.
Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa cdm sasa imebakia jina MATAGA wakakenua meno.
Sasa nawaambia kuwa cdm ni sawa na mnyama katili na mvumilivu wa maumivu na sumu kali hata ya nyoka.
Cdm ilionewa sana na kama isingekuwa uongozi thabiti wa mh Mbowe leo hii cdm ingekuwa sawa na CUF,TLP na wenzake kina TADEA na NCCR.
Sasa cdm tumeanza kujiimarisha na kuthibitisha kuwa sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
......https://www.instagram.com/p/CPbCqPNAZmp/?utm_medium=copy_link
Imagine lakini watu bado tumeshikilia humo humo, what a spirit? CCM usipowapa Hata chakula au kofia au kitenge tu hawaji, wananuna, wanakususia. Asante kwa kuweka huu ushahidiDj ameshindwa kulipa mishaharaView attachment 1800563
Bogus na pumba toka kwa mburula wa CdmWafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa cdm imekufa kisa wabunge wake wamehamia ccm.
Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa cdm sasa imebakia jina MATAGA wakakenua meno.
Sasa nawaambia kuwa cdm ni sawa na mnyama katili na mvumilivu wa maumivu na sumu kali hata ya nyoka.
Cdm ilionewa sana na kama isingekuwa uongozi thabiti wa mh Mbowe leo hii cdm ingekuwa sawa na CUF,TLP na wenzake kina TADEA na NCCR.
Sasa cdm tumeanza kujiimarisha na kuthibitisha kuwa sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
......https://www.instagram.com/p/CPbCqPNAZmp/?utm_medium=copy_link
Wamekubali kuvuaChadema imeishia kupongeza tu
We mla pacha wa msumbiji Chadema ipo hai?Baba yenu aliitabiria kifo matokeo yake ikawa kinyume
Hivi CDM bado haijafa?Ccm sasa hivi inajipigia tu kiulaini maana majamaa yamejipeleka kibra yenyewe!
Kwa akili zao yanaamini kushindwa kwao ni kwa sababu ya Magufuli. Ngoja ccm iendelee kuwamega
Ungemalizia wakati wa Mwendazake kuna watu hawakupandisha madaraja ya vyeo.Dj ameshindwa kulipa mishaharaView attachment 1800563
Mkuu ndio hiyo ambayo imesalimu amri kwa Samia!Hivi CDM bado haijafa?