Mlioaminishwa kuwa CHADEMA imekufa poleni sana maana CHADEMA ni sawa na nyegere

Wafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa CHADEMA imekufa kisa wabunge wake wamehamia CCM.

Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa CHADEMA sasa imebakia jina MATAGA wakakenua meno.

Sasa nawaambia kuwa CHADEMA ni sawa na mnyama katili na mvumilivu wa maumivu na sumu kali hata ya nyoka.

CHADEMA ilionewa sana na kama isingekuwa uongozi thabiti wa mh Mbowe leo hii cdm ingekuwa sawa na CUF,TLP na wenzake kina TADEA na NCCR.

Sasa CHADEMA tumeanza kujiimarisha na kuthibitisha kuwa sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Hata APPT - MAENDELEO bado kiko hai na kinazidi kujiimalisha!
 
Alietaka ife ndio kafa, na kwa kuthibitisha kuwa aitakufa hivi sasa wanajenga ofisi zao wenyewe nchi nzima, kwa ufupi chadema ni pasua kichwa.
Cdm kwa sasa inawapa wasiyo ipenda ugonjwa wa moyo
 
Wafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa cdm imekufa kisa wabunge wake wamehamia ccm.

Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa cdm sasa imebakia jina MATAGA wakakenua meno.

Sasa nawaambia kuwa cdm ni sawa na mnyama katili na mvumilivu wa maumivu na sumu kali hata ya nyoka.

Cdm ilionewa sana na kama isingekuwa uongozi thabiti wa mh Mbowe leo hii cdm ingekuwa sawa na CUF,TLP na wenzake kina TADEA na NCCR.

Sasa cdm tumeanza kujiimarisha na kuthibitisha kuwa sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.


......https://www.instagram.com/p/CPbCqPNAZmp/?utm_medium=copy_link

sasa bila ccm hata hio ruzku mnepata sasa
 
Pay master wa wizara ya fedha ambaye ni mchaga amekwapua zaidi ya billioni 1 ndani ya miezi mitatu.

Doto James arejeshwe
 

CDM IS REALLY BADASS!
😅
1622232110416.png
 
Back
Top Bottom