Mlioagiza magari mkailipa tbs mkachukue hela zenummeibiwa :mkurugenzi akiri akuna ofisi nje ya nchi


huyu mzee amevaa hadi pete ya ndoa. Atakuwa pia sio mwaminifu kwa mkewe huyu.
 
First class travell kwenye ndege kwa wabunge ili kwenda kukagua ofisi hewa! Amazing.
 
Anapeta Hosea na kashfa ya Tenda ya Richmond itakuwa huyu?
 
ofisi yetu imeagiza malori mawili ya mtumba kutoka serbia, nikawapigia simu tbs kuwauliza utaratibu ukoje, walijibu kuwa hawana ofisi kule, na sehemu ambazo hawana ofisi basi serikali ya kule ndo inawaandalia report ya ukaguzi, kumbe hata nchi wanazodai wana ofisi hata ofisi zenyewe hamna! Tanzania sijui tukupendeje? umeoza!!!
 
Tuwekee ushahidi, nnavosikia TBS wamejaa wachagga!
Bila kufanya usafi chumbani kwenu na kuacha ushabiki wa 'hao ni wachaga' hao ni wakristo' 'huo ni mfumo kristo' basi tutaendelea na manufacturing of teachers mpaka mwisho wa dahari!!!!
 
Then Usalama wataifa wako bize na mambo ya kijinga kabisa! kama kujibu watu humu JF na vitu vingine vya ovyo kabisa......hili jambo kubwa walikuwa hawalijui? au walikuwa wanakula nae?
 
Sijaelewa,
Kwa sie wadau wa magari ya kijapani hua twalipia JAAI Inspection ambao twaamini wapo on behalf of TBS, sasa hapa imekaaje???

Kwa maelezo ya kamati siku ile, Katika kuaguzi zote ni JAAI peke yao ndo wapo safi. Shida ipo hong kong, singapore, uk, na dubai, walisema POAC.
 
wapumbavu sana hawa,yaani akawasafirisha mpakahuko,hii confidence ametoa wapi kama sio anashirikiana na mafisadi???good country stupid imbecile leaders

Hakuwasafirisha yeye ekelege. Wabunge walipelekwa kule hong kong na kulioiwa gharsma zote na Ofisi ya CAG.
 
Kuna mzee moja kwenye FUTUHI ya STAR TV anafanana sana kwa sura na huyu Ekelege na hata kwa vituko vyake. Kuna uwezekano huyu mkurugenzi huwa anafanya part time kama comedian wa FUTUHI?

Duh! huwez hata kuamini habar hz maana ni ushenz wa kutupwa.Ifike mahali Kamati ziwe zinaambatana na polisi ili washenz km hawa wawe wanachukuliwa na kuhifaziwa ndo upelelez uendele.Nasikia huko Ethiopia mtu ukiwa na tuhuma za rushwa wewe mweyewe ndani,mkeo ndan,watoto wako ndan,wazaz na wakwe,na wajomba pia ndani,then ndo uchunguz unafanyka kujuwa ni yupi hahuski na huo ushenz ulioutenda,so kwa hali hyo ukiwa unakura rushwa hata mkeo aweza kupenyeza tarifa kwenye vyombo vya usalama ili kuepuke kadhia hiyo
 
Tanzania kwa kweli ni nchi ya ajabu, ni nchi ya kitu kidogo


haya yote ambayo tunayajua amini haifiki hata 0.1% ya madudu ya kuifisidi nchi yetu.


inafika pahala wananchi tuamue kupambana nao hawa wahuni, na baadhi nashindwa kuelewa tatizo ni siasa, tatizo ni maadili au nn ?


maana wenye kutenda haya CHADEMA wana afuasi wao CCM na vyama vyengine pia wamo.


ukija kwenye dini ndio usiseme wamo wakristo tena wazuri sana wanaenda kanisani kila jumapili, wanamsifu bwana na kutoa sadaka na kufunga kweresmas ila matendo yao ajabu. pia wako waislam, tena safi sana wanaswali hamsa wa salawati, wanafunga na wanaenda makka lakini wanaitafuna nchi hii.


makabila pia sioni kama ni tatizo maana Jairo, Balali, huyu jamaa na EPA utaona makabila tofauti.



jamani tatizo letu ni lipi na nn kifanyike, ili kunusuu hii hali?
 
huyu mzee amevaa hadi pete ya ndoa. Atakuwa pia sio mwaminifu kwa mkewe huyu.

walio vaaa PETE WENGI NI WAZINIFU KULIKO WASIOVAA PETE MPWA
SO UAMINIFU AUKO KWENYE PETE UKO KWENYE ZILE SEHEMU SEHEMU
 
Aaghhhhhhhhhhhhhhh! huyu jamaa bado yupo kazini? muuwaji anapeta? ama kweli kina P*nda wamepinda, angepaswa kuuwawa huyu. Hii ina maana pia bidhaa zote zilizopitishwa kipindi chote cha uongozi wake zisipitishwe mpaka ukaguzi mwingine ufanyike. Kama amekosa uadilifu kuogopa kutumia pesa za serikali kuwapeleka wabunge pikniki, basi hataogopa hata kama tutakula sumu ya kuua polepole kwa kupewa vijisenti na kutoa maelekezo vibali vitoke. Chonde JK rudi huko uliko umtoe huyu jamaa la sivyo tutafikia kuwatanguliza sie wenyewe
 
Halafu utashangaa ******* moja linakurupuka madk wote wasipofika wameachishwa kazi huku
shetani kibao wakiiba kwenye makaratasi na mingine kukiri hadharani bado iko kazini
pumbavuuuuu kabissssssssaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii nchi na viongozi wake
 
Huyu mzee alinifurahisha sana pale alipowaambia waandishi kuwa hana majibu ya masawali yao. Dawa ni moja tu hakuna kubebana tena apigwe chini awekwe kijana hapo apige kazi.
 
Alioshirikiana nao ni ccm aka mafisadi. Tuanze na "manufacturing of teacher....." ale risasi ya ubongo ili wa chini wawe na adabu @€¤%!

Na hao kina Filikunjombe waliomuibuwa wako chama gani? saa nyingine muwache upupu wenu, anaeibiwa na huyu si magwanda wala CCM, wengine hawana vyama.
 
hehe mi nikisema TZ ni banana republic naonekana kama naikejeli nchi yangu,nashindwa hata pa kuanzia kila sehemu ni uozo au kila mtu na ka mhogo kake(kama anavyosema Jenerali Ulimwengu)si ajabu wgonjwa wa kansa wanazidi kuongezeka kwa kula vilivyopitishwa na TBS,huu ni uaji ,je bodi ya TBS iko wapi?Kikwete ana kazi na hii serikali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…