kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,861
- 3,097
Ndoa ya serikali , watoto wakikua watachagua dini yao wenyewe . Watoto wajue tu kuna Mungu mmoja na wakiwa watu wazima watajua namna ya kumwabudu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliapa miaka mingi huko kabla sijaoa,sitakuja kuoa mwanamke wa dini tofauti na yangu na ikitokea basi yeye abadili kunifuata mimi tena iwe kwa hiari si kwa shinikizo langu.
Nikapata binti sote Christians sema yeye RC mimi Pentecostal.
Akakataa kuwa mlokole eidha mimi nimfuate yeye,alikuja kushangaa tu anapokea kadi ya mwaliko hata ya ufadhiri sikumpa maana asingechanga,mpaka leo abebaki kuyatamani tu maisha yangu,naishi vyema na mmasai wangu aliyekuwa mrutheli ila aliponiona ni future husband akahama kwa speed ya umeme.Na yeye anapambana na muRC mwenzake huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru mkuuMkuu oa dini yako ni changamoto sana,sijahusika mm ila brother ndo muhanga,mwanzo alikubali Dini yetu baada ya watoto wawili akarudi Dini yake original.....sasa watoto wako dilemma.....najua bebi bebi zitakuwa nyingi ila mkuu issue ya dini ningumu mtu kutoka 100percent
shukurani ila kubadili dini itakuwa ngumu maana nimesali kanisa la TAG tangu mdogo nibadili dini siwezi naona nalitosa kanisa languPole sana kiongozi.
Waislamu wanawake hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wa dini nyingine.
Na waislamu wanaume wanaruhusiwa kuwaoa wakristo wale wenye dini ambao wanajihifadhi.
Kwa kigezo cha kwsnza mkuu hutompata huyo binti na wala yeyr hatokupata kwa sababu kils mmoja kati yenu anaipenda dini yake.
Ukimuuliza kwa nini hutaki kubadili dini kuwa mkristo kwani ukristo una ubaya gani?
Na yeye anaweza kukuuliza kwa nini nawewe hutaki kubadili dini ukawa muislam kwani uislamu una ubaya gani?
Muhimu kila mmoja kaipenda dini yake jambo zuri kuna wanawake wengi wa kikristo wa kuoa.hilo ni jambo la muda tu mkuu vumilia maumivu au kuwa muislamu safi uchukue mali ya kipemba ukajilie maini mkuu.
Toto la kipemba limeshaelekea kibla tayari bado kuchinjwa tu mkuu wewe unaangalia dini,kuwa muislamu ukafaidi mali za kipemba mkuu,mkeo atafurahi sana na ataona unampenda kweli.japo na wewe sikuambii uhisi kama hakupendi.
.ila mapenzi ya dini yawe makubwa sana ndoa itanoga.