Mlio safiri na Reli ya TAZARA Tupeane mrejesho

Hapo alipokaa huyo dada ndo cafeteria sehemu ya kula. Hivyo vyoo/bafu ni vya 1st classView attachment 1453282View attachment 1453283View attachment 1453284View attachment 1453285

Sent From Galaxy S20 Ultra
Hii si ndio wazambia wazuia Kapiri Mposhi haiji sikuizi,Haya mabehewa yalitolewa naserikali ya China yakiwa 18 na Injini 2 Mpya kabisa.Lakini wazambia walivyo na roho ya ajabu wazuia hayaji huku.Sisi wametuachia yale ya zamani.
Kwa sasa treni ipo jumanne na Ijumaa kwenda Mbeya tuu,Na ikifika imageuza tena kurudi.
Ushauri kwa waziri Kamwele wanunue mabehewa mapya mazuri kwa ajili yetu sisi watanzania na yasivuke mpaka kama kuishia yaishie Tunduma tuu.Usafiri wa treni ni salama zaidi kuliko haya mabasi.
 
Binafsi ndo usafiri ninao upenda balaa.

Unakuwa huru kwa kila jambo kutembea kula kushangaa mazingira n. K

Mi nilipanda ile DELUXE ya TRC toka Kigoma mpaka Tabora unaona jiografia ya nchi vizuri sana.Tulitoka Kigoma saa 2 asubuhi Tabora tulifika saa 12 kasoro maana mwendo ni wa kawaida sababu ya njia ya zamani sana,But naamini ukarabati wa reli ukikamilika mpaka isaka na mwendo ukaongezeka mpaka 75km/h or 70km/h wanavyosema watakuwa wanafika Kigoma mapema zaidi
 
Hii si ndio wazambia wazuia Kapiri Mposhi haiji sikuizi,Haya mabehewa yalitolewa naserikali ya China yakiwa 18 na Injini 2 Mpya kabisa.Lakini wazambia walivyo na roho ya ajabu wazuia hayaji huku.Sisi wametuachia yale ya zamani.
Kwa sasa treni ipo jumanne na Ijumaa kwenda Mbeya tuu,Na ikifika imageuza tena kurudi.
Ushauri kwa waziri Kamwele wanunue mabehewa mapya mazuri kwa ajili yetu sisi watanzania na yasivuke mpaka kama kuishia yaishie Tunduma tuu.Usafiri wa treni ni salama zaidi kuliko haya mabasi.

Mara ya mwisho kusafiri na treni ya Tazara ilikua lini
 
Daah ni zamani 1992 ndio nilisafiri nayo kuelekea Makambako ilikuwa vizuri nakumbuka kama sikosei tulifika saa 12 asubuhi.Na Mbeya ilikuwa inafika mapema tuu,Sijui kwa hivi sasa.
 
Back
Top Bottom