mlio owa.... na kuolewa...bomani...!!

mlio owa.... na kuolewa...bomani...!!

luku_77

Senior Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
176
Reaction score
19
habari za cku wana JF.....? nitafurahi sana kusikia maoni yenu hasa mlio oleana bomani.. yani ndowa ya kiselikali. hivi inakuwa na ushirikiano kweli wa pande mbili....? hasa wakati wa matatizo ya wanandoa hawa...? natumaini mengi kutoka kwenu asante by Luku_77
 
Haueleweki mwenzetu,

Ushirikiano upi unaohusu nini? na katika matatizo ya kindoa yepi?

How old are you? komaa kwanza
 
Haueleweki mwenzetu,

Ushirikiano upi unaohusu nini? na katika matatizo ya kindoa yepi?

How old are you? komaa kwanza
unandoa ya bomani...? kama hauna na huna ufaham juu ya hilo sio lazima...! nahisi wewe haikuhusu wala hujuwi lolote. wewe umri
wako bado mdogo ndio maana hujuwi kawaulize wakubwa zako.....¡
 
unandoa ya bomani...? kama hauna na huna ufaham juu ya hilo sio lazima...! nahisi wewe haikuhusu wala hujuwi lolote. wewe umri
wako bado mdogo ndio maana hujuwi kawaulize wakubwa zako.....¡

Jiami tu, subiri mavuvuzela wenzio wasio faham, wakupindishe.
mtu anaweza kuwa na ndoa ya bomani na hasifaham sheria na haki.
 
Kipi hasa specify maana me ni registrar wa ndoa za serikali pale kwa commissioner
 
[QUOTE=Somoe;

wale mavuzi lela kama...... lengo sio kusikiriza ambao hawajuwi... ugekuwa umeolewa/ au kuowa ungefaham namaanisha nini...! ngoja nikupe kidogo... ukiwa na matatizo na mke au mume nilazima wazazi wote wa kuke na kuume wakutane na kutatua tatizo la wahusika... kwa ufaham wangu ndowa za bomani mara nyingi ni wenye dini tofauti. swali langu kutaka kujuwa changa moto katika ndowa za aina hiii.....!
 
Makubwa, wewe ni mtambo, una elim gani mwenzetu?

Hivi nani anaejua zaidi haki na sheria ya ndoa ya kanisa, waliofunga ndoa kanisani ama padri aliesomea maswala ya ndoa ya kikristo?

Na nani anae jua zaidi haki na sheria ya ndoa ya kislam waliofunga ndoa kislam au shehe alio somea maswala ya ndoa ya dini ya kislam?

Na nani anae jua zaidi haki na sheria ya ndoa ya bomani, waliofunga ndoa bomani au mwanasheria alie somea maswala ya ndoa ya kibomani?

Ndo subiri waliofunga ndoa bomani hao wasio jua A wala B, wakupumbaze.
Maana hata wewe mwenyewe haueleweki
 
KUNA KITU LAZMA UJUE kuhusu kushirikisha wazazi kwenye matatizo.

Kila tatizo la kijamii laweza kutatuliwa na wanajamii.
Kwaiyo wazazi pande zote mbili wanaweza kukutana na kutatua tatizo, kama kawaida, kama ndoa zingine za kidini na kimila. Ila kama tatizo lisiloweza kutatulika na jamii/wazazi ndio serikalini, police, mahakamani.

Ukitaka talaka, mukipigana, mukitaka kugawana mali mahakamani.

Vile vile faham ndoa ya bomani sio ya watu wenye dini tofauti tu kama unavofikiri.
Yaani watu wawili waweza kuwa dini moja na wakamua kuoana bomani.

Na vile vile faham we dogo humu ndani kuna wanasheria,wamesomea masuala ya ndoa ya kiboma, sasa wewe unataka ujibiwe na mtu alie funga ndoa bomani. Ndio maana nikakuona hauna akili timanu
 
msiposhirikiana wanandoa unategemea mshirikiane na nani?

Msiposolve migogoro yenu wanandoa mnategemea ndugu ndo wasolve?

Ndoa hujengwa na wawili........matatizo yanamalizwa na wawili wakiingia ndugu jamaa na marafiki hua ni kujianika tu......

Ndoa ni ndoa haijalishi ni kimila....bomani....kanisani...msikitini au kwenye sinagogi
 
Lugha yenyewe iliyotumika hata haileweki!ukija kwenye swali ndo kabisa!
 
hapa ngoja nipite...naona dalili ya mvua ya mawe.....na haijanyesha siku nyingi.....:bowl:
 
msiposhirikiana wanandoa unategemea mshirikiane na nani?

Msiposolve migogoro yenu wanandoa mnategemea ndugu ndo wasolve?

Ndoa hujengwa na wawili........matatizo yanamalizwa na wawili wakiingia ndugu jamaa na marafiki hua ni kujianika tu......

Ndoa ni ndoa haijalishi ni kimila....bomani....kanisani...msikitini au kwenye sinagogi

Nakubaliana na wewe kabisa. Hata mi nikajiuliza hivi wazazi wake wakifa atamshirikisha nani?
Kama yeye mwenyewe hawezi kutatua matatizo yake ya kindoa mwenyewe, basi itakuwa Kapinda.
Ndio wale wale watoto wa mama, kila kitu wazazi. Na mara nyingi watu kama hawa uishi kwa wazazi hadi miaka 50.

Dume lililo komaa ukabiliana na kila kitu mwenyewe, kuvyake.
 
ushirikiano wa ndoa haujalishi mahali ilipofungwa...au unataka masimulizi ya ndoa zifungwazo nje ya nyumba za ibada?
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Hata mi nikajiuliza hivi wazazi wake wakifa atamshirikisha nani?
Kama yeye mwenyewe hawezi kutatua matatizo yake ya kindoa mwenyewe, basi itakuwa Kapinda.
Ndio wale wale watoto wa mama, kila kitu wazazi. Na mara nyingi watu kama hawa uishi kwa wazazi hadi miaka 50.

Dume lililo komaa ukabiliana na kila kitu mwenyewe, kuvyake.

ukiona hivyo mtarajiwa wake BAUNSA kipondo nje nje, ndio maana anauliza pa kukimbilia...
 
Back
Top Bottom