Mlio kwenye mahusiano mliingiaje?

Mlio kwenye mahusiano mliingiaje?

Joined
Dec 13, 2023
Posts
88
Reaction score
343
Ndugu zangu wana JamiiForums, naombeni muongozo wenu.

Nitumie njia gani maana naona kwenye hatua za awali tu kumu approach anakuomba hela, sasa kwangu hii huni disappoint sana na hii si mara ya kwanza.
Naombeni ushauri wenu, umri 23.

Kwa mfano huyu sina mpango wa kumtafuta tena wakati namba ake nilipata juzi tu.
Screenshot_20250504_223829.jpg
 
Tunaingilia mlango wa mbele tunatokea wa nyuma.

Acha ujinga, mwambie aje achukue unapokaa, mengine utajua mwenyewe.
Siwezi kufunza kila kitu

Alafu tafuta wa size yako, sio kuvamia oversize
 
Ndugu zangu wana JamiiForums, naombeni muongozo wenu.

Nitumie njia gani maana naona kwenye hatua za awali tu kumu approach anakuomba hela, sasa kwangu hii huni disappoint sana na hii si mara ya kwanza.
Naombeni ushauri wenu, umri 23.

Kwa mfano huyu sina mpango wa kumtafuta tena wakati namba ake nilipata juzi tu. View attachment 3324816
Wakati mwengine wanawake wanafake(wanatengeneza shida) ili kupima kama unaweza kuwa mtu anayejali shida zake au laah!!,pia wanaweza kufanya vitu ambavyo vitakufanya ujiulize marambili kutaka kumtongonza au laah!!

Ktk umri huo wa 23 yrs ni vyema ukajidhatiti kuijenga kesho yako zaidi ndugu yangu....
 
Back
Top Bottom