Hizo nchi tatu ni zipi? Na alikwenda kupata mafunzo kwa ridhaa ya chama au aliwahi kuwa mtumishi wa mojawapo wa vyombo vya ulinzi&usalama?
Mlinzi hana mafunzo yoyote ya kiu salama hajui hata code za ulinzi wewe mwangalie anavyo fungua mlango hayuko makini kabisa.
Mnaokota watu vijiweni mnawaita walinzi hana hata element moja yakuwa mlinzi semeni CCM wakupeni vijana ile front line ya Mkuu wa nchi usipime hata kidogo vijana wapo fit wale ndio walinzi.
Magurudumu
===>Sio kweli,huwezi kuweka boya pale hata bastola halijui kushika halafu unamuita mlinzi wa kiongozi,analinda nini sasa?ulinzi lazima uwe na malengo,uwe na hadhi, kama ndio mnavyofanya basi imekula kwenu.
jitahidi kuongea unachokijua na cyo kukurupuka tu na kuongea ya kuambiwa
Mlinzi gani silaha ya kumlinda kiongozi wale.halafu ni kijana mno bado ana ndoto zake,ni rahisi kurubuniwafrema120
===> Kumbe hawa walinzi huwa wanaokotwa tu? Wanapata wapi mafunzo ya ulinzi hasa ya kulinda viongozi?
===> Na yeye ni bei gani? i.e thamani yake, kilo na nusu au dau lake litaongezeka kidogo?
Nenda basi kamsogele boss.