Inaonekana hajui kazi yake maana mpaka bosi wake anafungua mlango yeye ndo anarukia kuufungua!
Inaonekana hajui kazi yake maana mpaka bosi wake anafungua mlango yeye ndo anarukia kuufungua!
frema120
===> Kumbe hawa walinzi huwa wanaokotwa tu? Wanapata wapi mafunzo ya ulinzi hasa ya kulinda viongozi?
===> Na yeye ni bei gani? i.e thamani yake, kilo na nusu au dau lake litaongezeka kidogo?
Mbona unaweka wigi kwamba tuache kusema mapungufu yake kwa chama nk. Ina maana ana mapungufu kwa chama? Asije akaishia kuwa kama Kagenzi.
Chadema mmumlipe vizuri,mshaara wa laki 4 kwa mwezi kama mlivyokuwa mnamlipa kagenzi ni mdogo sana ndio maana alirubuniwa kwa vipande 150 vya elfu,Jitahidini mumpe hata net ya 2m usafiri binafsi hata Cresta pamoja na mafuta/Dereva,mumpangishie nyumba nzima maeneo ya jirani na Dr Slaa,Boko mkifanya hivyo hatorubunika.
Nasikia hata msafisha ofisi hapo ufipa nae katokea migombani, nyinyi watu hatari sana. Na wewe ni ndasu bin SHIRIMA au NDESHAU?teh teh, kama ccm huwezi kupewa nafasi nyeti kama jina lako la ukoo halitambuliki huko umagambani.