SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,263 Feb 4, 2016 #1 Alivishwa taji la ulimbwende mwishoni mwa mwaka 2015. Anaitwa Amanda Kaneza wa Rwanda. Attachments RWANDA SUPER MODEL AMANDA KANEZA.jpg 6.6 KB · Views: 73
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,561 48,230 Feb 4, 2016 #3 Kama Rihanna. Wamefanana sana. Ila huyu mrembo zaidi kwasababu rangi yake ya asili inaonekana, hajajikwatua
Kama Rihanna. Wamefanana sana. Ila huyu mrembo zaidi kwasababu rangi yake ya asili inaonekana, hajajikwatua
milioni milioni JF-Expert Member Mar 25, 2013 1,845 1,063 Feb 14, 2016 #6 Anafanana na mmoja niliyekutana naye jana,alafu kaondoka na chenchi yangu.