Mlima Kilimanjaro - Umetapakaa Vinyesi vya Watalii na Poters | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlima Kilimanjaro - Umetapakaa Vinyesi vya Watalii na Poters

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SEAL Team 6, Aug 17, 2011.

 1. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge limeelezwa kwamba, ni jambo la kushangaza sana kuona mlima Kilimanjaro umetapakaa vinyesi vya wazungu na wale wapambe wao ( pouters). Akichangia katika hotuma ya Wizara ya MALIASILI na UTALII mheshimiwa Mbowe aliweka hilo hadharani, kwamba TANAPA licha ya kukusanya $40 Milion lakini wameshindwa kujenga vyoo kwa ajili ya watalii wanaopanda Mlima huo. Ameshangaa sana kwamba hizo hela huwa zinakwenda wapi? Hii imesababisha Watanzania wanaoishi kuuzunguka milima Kilimanjaro wanatumia maji yaliyo changanyikana na vinyesi vya wazungu. Ameahidi kumpatia mheshimiwa Waziri MAIGE ushahidi ili ajionee mwenyewe tani na tani za vinyesi zinavyochafua mazingira ya mlima huo.
  Tujiulize ni viongozi wangapi wa Serikali yetu walishapanda mlima huo, inawezekana kabisa miongoni mwa tani hizo zimo za viongozi hao.
   
 2. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  .... yeps, tani za vinyesi vya wazungu na viongozi zimetapakaa pia nchi nzima kila wanapokwenda kukwapua rasilimali zetu kwa kusaidiana na viongozi waliomadarakani. Laiti wengeishia kwenye mashimo wanayotuachia, walegee na washindwe kujinasua, wabaki humo humo kwenye mishimo yao na vinyesi vyao
   
 3. ram

  ram JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  I'm just passing, ila nimecheka sana, watu mnauchungu maskini bt hakuna hata anaewasikiliza duh!
   
 4. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mpaka vinyesi vya wazungu vikutwe mlango wa ikulu ndio watashtuka!
   
 5. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Unamaanisha nini hapo kwenye red?...kwamba wewe hayakuhusu au?
   
Loading...