hao watu huwa hawashauriki aiseeNdugu zangu najua baadhi yetu mna experience namna ya kuishi na mzazi aliepata Pensheni alafu akawa na matumizi ambayo unaona sio sahihi lakini sasa changamoto hela ni zake.
Je, kama familia mlifanya nini? Je, ilisaidia na kuleta matokeo mazuri maana unaweza jikuta unagombaa na mzazi mwisho wa siku hela zikiisha anabaki kukutegemea wewe. Vipi ukimpa mawazo ya biashara akayakataa.
Hakuna tatizo pesa ni za kwake na ata hivyo anapokea pensheni kila mwezi, hakuna shida akitumia vibaya.Ndugu zangu najua baadhi yetu mna experience namna ya kuishi na mzazi aliepata Pensheni alafu akawa na matumizi ambayo unaona sio sahihi lakini sasa changamoto hela ni zake.
Je, kama familia mlifanya nini? Je, ilisaidia na kuleta matokeo mazuri maana unaweza jikuta unagombaa na mzazi mwisho wa siku hela zikiisha anabaki kukutegemea wewe. Vipi ukimpa mawazo ya biashara akayakataa.
Wengine wanamloga anapararaise anakuwa hatoki ndani.😁😁😁Ndugu zangu najua baadhi yetu mna experience namna ya kuishi na mzazi aliepata Pensheni alafu akawa na matumizi ambayo unaona sio sahihi lakini sasa changamoto hela ni zake.
Je, kama familia mlifanya nini? Je, ilisaidia na kuleta matokeo mazuri maana unaweza jikuta unagombaa na mzazi mwisho wa siku hela zikiisha anabaki kukutegemea wewe. Vipi ukimpa mawazo ya biashara akayakataa.
Kwanini huwa hawashauriki?hao watu huwa hawashauriki aisee
Kunywa Pepsi nitalipia...hao watu huwa hawashauriki aisee
Kunywa Pepsi nitalipia...
Hao ni sikio la kufa 😁
wanakwambia kila mtu asubirie mafao yake, "wewe ukipata wa kwako utafanya hayo" 😁Kunywa Pepsi nitalipia...
Hao ni sikio la kufa halisisikii dawa
1. Kama hampatani yaani hamna bond baina yako na huyo mzazi, Achana naye.
2. Mshauri Kwa nafasi yako kama hataki Achana naye.
3. Kikawaida wazee wengi ni wabishi nazungumzia wazee WA kiafrika wenye age kuanzia 60-89.
4. Mkumbushe kuwa sio jukumu la mtoto kumtunza mzazi au wazazi. Hivyo fedha na Mali zake ndizo zitakazomtunza. Na huo ni ukweli mchungu.
5. Hicho anachotaka kukifanya kifanyeni lakini Pesa awapw ninyi mumpige, muitunze Kwa ajili yake.
6. Mkumbushe kuwa kuna magonjwa ya uzeeni ambayo yanahitaji Pesa za haraka na za uhakika. Na ninyi kama Watoto Hali zenu anazijua.
Kiufupi msipende mambo ya unafiki nafiki, au kufichana, Peaneni makavu. Ukweli ndio utawaponya.
Ndugu zangu najua baadhi yetu mna experience namna ya kuishi na mzazi aliepata Pensheni alafu akawa na matumizi ambayo unaona sio sahihi lakini sasa changamoto hela ni zake.
Je, kama familia mlifanya nini? Je, ilisaidia na kuleta matokeo mazuri maana unaweza jikuta unagombaa na mzazi mwisho wa siku hela zikiisha anabaki kukutegemea wewe. Vipi ukimpa mawazo ya biashara akayakataa.
Hapo kinachofuata ni msongo wa mawazo alafu kifo...Namuona kuna mzee hapa jirani yangu amemaliza pensheni mapema sana.
Mwezi mmoja umepita mkewe amefariki na mzee ana wiki moja sasa ameweka bond nyumba yake kwa thamani ya Tsh. mil. 9 kwa kisingizio kuwa watoto wake hawamjali.
Amekuwa mtu wa pombe mda wote na kuhonga ma-bar med.
Ndo hivyo, maana atakuwa ameshajikatia tamaa na maisha.Hapo kinachofuata ni msongo wa mawazo alafu kifo...