Nadhani hujui vizuri historia ya soka la Tanzania au umezaliwa miaka ya karibuni...
Yanga SC haijawahi kupendwa mkoani Mbeya tangu enzi za Mecco na Tukuyu Stars...
Pia hali hiyo iliendelea zilipoibuka timu kama Tiger na Prisons...
Lakini kwa upande wa pili wa shilingi, Simba huwa hawapati sana tabu...
Watanzania tuamke kuzitokomeza simba na Yanga wanaohujumu soka la nchi yetu.Ebu angalia wanavyopapatikia wachezaji wa nje,bila kujali kwamba wanainua viwango vya nchi nyingine
Kweli nimeamini kuongozwa na muhuni ni lazima na wanaoongozwa wawe wahuni kuna maana gani ya washabiki wa mbea kuwapiga mawe yanga haya mambo ya kishamba na kutokwenda shule napo ni tatizo mijitu imekuwa na kukuta maharage na mchele ikajiita mifanyabiashara inauwezo wa kumiliki mil 1 tayari inajiona inaakili kweli shule muimu wanambea kasomeni mpate mwanga na viongozi chagueni wasomi wavuta bangi ndio mazara yake haya
Hiyo mechi nayo irudiwe pia tena katika uwanja huru na yule refa mwenye sifa ya kuchezesha ligi daraja la pili asiwepo haki itendeke.Big up Mbeya City. Kila kitu kiko vizuri ISIPOKUWA DOSARI YA VURUGU ZA MASHABIKI. Hili ni doa kubwa japo halijaanzia Mbeya tu. Nakumbuka Yanga ilishawahi kupigwa mawe kule Tanga misimu miwili iliyopita na pia mashabiki wa Yanga walipiga mawe gari la Coastal Union pale U/Taifa hivi karibuni. Ni wakati wa TFF kuchukua hatua angalau kutoa tamko la kuallani tukio la namna hii siku zijazo
Kwa mara ya kwanza kabisa ,katika historia ya mpira miguu nimeshuhudia mabadiliko ambayo yanga hawakuyatarajia , umati wa washabiki uliojitokeza kuishabikia timu yao ya mbeya tofauti na kipindi cha nyuma , ambapo tulizoea kushabikia Yanga na Simba sasa inatoweka , na wshabiki kuanza kupenda vitu vya nyumbani.dosari iliyojitikeza ni kulishambulia basi la wachezaji, jambo ambalo lilisababishwa na wao wenyewe wakidhani bado wanaoendwa.Mbeya city tutaendelea kuwashangilia kwa moyo mmoja na nguvu moja mjitume daima.
NIONAVYO MIMI KUFUATIA RUFAA YA YANGA.
YANGA wanamadai matatu,1.mchezo urudiwe katika uwanja huru 2.Refa kawanyima goli la Kavumbagu na 3. Mchezo wao na prison usichezwe pale sokoine stadium ambapo jana kulitokea vurugu.
Maoni yangu,Kama TFF watakubali mechi ya MCC VS YANGA irudiwe uwanja mwingine kuna uwezekano itatokea vita ya hatari kuliko hata vurugu za jana.YANGA wanamashabiki wengi nchini lakini trust me,kuna coaster kama 10 zitatoka mbeya kuufuata huo mchezo!!
TFF watumie busara kuamua utata huu,mazingira ya goli la kavumbagu lilokataliwa lina utata kidogo.Kipa wa MCC alikuwa anadeshi kuudaka mpira na ndipo Kavumbagu alipomfuata na kufanikiwa kutia kambani ingawa kulikuwa na physical contact kidogo na kipa.
Hata hivyo goli halifungwi TFF,linafungwa uwanjani na Refa ndiyo muamuzi wa mwisho.Tumeshaona goli kama la Lampard pale Afrika kusini liliingia lakini Refa hakuona,tumeshaona magoli yakifungwa kwa mkono na watu wanaitwa kati.
Unapoomba mchezo wa PRISON ubadilishwe uwanja,unawanyima PRISON haki yao ya kucheza uwanja wa nyumbani.Kwani Prison wamewakosea nini YANGA??
Wito wangu,wachezaji wote,makocha,vyombo vya habari na TFF lazima tuseme wote kwa pamoja kwamba kitendo cha vurugu uwanjani hakikubaliki bila kunyoosheana vidole.
Unapokubali yanga wabadilishiwe uwanja,unamaanisha hawatokuja milele MBEYA?? TFF mkikubali tu hili,watakuja sema na Mkwakwani hawataki kwenda.
I'm sorry,siungi mkono hoja ya YANGA.
ni kama coast mkuu.Mabadiliko haya ya yanatupeleka mbele, yanaturudisha nyuma? Umoja wa kushambulia kwa mawe Basi lenye wachezaji wa Timu pinzani? Baada ya hapa tutegemee mabadiliko zaidi ya Basi la Timu pinzani kushambuliwa kwa risasi?
kubebwa ni kawaida yenu mbona ya coast haikurudiwa.simba na yanga ndo maadui wa soka yetu.Kaka, Mechi inarudiwa na itachezwa uwanja huru kufuatia Rufaa ya Yanga (Mabingwa wa Kudumu wa Nchi hii)! Mechi na Prisons nayo itakuwa Uwanja huru. Huenda mechi zote za VPL zilizokuwa zichezewe Mbeya zikahamishiwa Kiwanja cha Mkoa mwingine! Imekula kwenu!
Source Forum ya Sports!
Nakapan[LEFT said:[/LEFT]ya;7337410]hata wale viongozi wa Yanga,ile timu inaopiga tu kama huuzi maarage itakuwa mchelewaamuzi,inayovunja vioo vya magari ya timu pinzani pale taifa nao wanahitaji kwenda shule na kuacha kuvuta bangi bila kula.
Pia wale na wale wazee wenu wasiokuwa na kazi kutwa kushinda jangwani pale kuvizia kuwalamba miguu viongozi njaa wenu ili wapate kula....kifupi Yanga pia ni wahuni kama wahuni wengine tu....
uwanja wenyewe haufanani hata na ule wetu kaunda,mkija pale kwenye kapeti manyoya ndo mtaijua Yanga nadhani Mbeya city badala ya kucheza mpira wataanza kushangaa uwanja yale mataa,majukwaa...Sokoine wao wanaijua kuanzia kupanda daraja wamecheza hapo mapka mechi tatu zakwanza za ligi kwahiyo makongorongo ya sokoine wanayajua vizuri
huo uwanja unaousema ni carpet ni wenu? hiyo ni mali ya Watanzania wote wakiwemo Wanambeya!