Mlichokipata YANGA Mbeya , mtegemee kukipata na mikoa mingine.

Mlichokipata YANGA Mbeya , mtegemee kukipata na mikoa mingine.

ni kama coast mkuu.

Waasisi wa kupiga mawe ni Coastal Union ambao ni Simba walipopiga basi la Yanga kuanzia Kabuku hadi uwanjani. Yanga walipopiga basi la Coastal ilikuwa ni kulipa kisasi kwa Wagosi hao. Sasa tunawasubiri Mbeya Site (sijakosea Mbeya haina hadhi ya kuwa City) waje mjini.
 
Back
Top Bottom