Mliberali ashinda uchaguzi Australia

Mliberali ashinda uchaguzi Australia

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,066
Reaction score
454
chama cha liberal national party chini ya uongozi wa abbott kimeshinda uchaguzi mkuu nchini australia kwa kukiondoa chama cha labor cha aliyekuwa waziri mkuu rudd ambaye amekaa madarakani kwa kipindi cha miaka sita.
aliyekuwa waziri mkuu amekiri kushindwa kwa chama chake.
 
Siasa za Australia vipi? Mbona juzi juzi kulikuwa na mwanamama prime minister. Halafu inelekea wanabadili mawaziri wakuu kama mashati!
 
chama cha liberal national party chini ya uongozi wa abbott kimeshinda uchaguzi mkuu nchini australia kwa kukiondoa chama cha labor cha aliyekuwa waziri mkuu rudd ambaye amekaa madarakani kwa kipindi cha miaka sita.
aliyekuwa waziri mkuu amekiri kushindwa kwa chama chake.

Mkuu ni hivi, Jullie alishindwa kiti cha Labour na kwa katiba ya Labour ukishindwa uenyekiti unapoteza nafasi zote za serikali hivyo mnano mwezi May Kelvin Rudd alishinda uenyekiti na automatically akarith kiti cha uPM. So Rudd amekuwa interim pm kutoka may-Sept 7!

Chama cha Liberals chini ya Tonny Abbott ndio kimeshinda jana kwa % zaid ya 80 baada ya vyama vya upunzani kuungana (coallition).

Tonny ni pm wa 26 ktk historia ya Oz!
 
Back
Top Bottom