Mlezi wa watoto anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlezi wa watoto anahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by bwegebwege, Apr 14, 2011.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wana JF;

  Kwa mara nyingine niombe msaada wenu. Anahitajika mwanamke wa kuangalia watoto na kufanya kazi za nyumbani.

  Mume na Mke wanaohitaji mtu wa kazi wote ni wafanyakazi, wanaishi Dar es Salaam. Nyumba ni ya familia ya watu 6 (Mke, Mume na watoto wa-4). Mlezi wa watoto atatakiwa kuwepo Jumatato hadi Jumamosi, anashinda na watoto hadi jioni saa 12 (Jumamosi saa 8), Jumapili Mapumziko.

  Vigezo na sifa zifuatazo:-
  UMRI: Awe zaidi ya miaka 28
  UZOEFU: Mwenye uzoefu wa kufanya kazi hizo zaidi ya mwaka
  DINI: Preferably awe Mkristo
  MSHAHARA: Maelewano

  Kwa mdada mwenye mtoto/watoto, anayefahamu ulezi atapewa kipaumbele zaidi

  Kwa mwenye kumfahamu mtu tafadhali ani-PM au apige simu +255 755 338994/ +255 715 329994 (Uliza MSHENGA)

  Asante
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  .................Da hizo specifications ni ngumu kupata mkuu....
   
Loading...