Mlevi..!!

Mlevi..!!

Dfour

Member
Joined
Mar 18, 2010
Posts
47
Reaction score
10
Mlevi katuma meseji kwa mke wake
"Darling nipo bar napata mbili tatu, nitarudi nyumbani ndani ya dk 50 zijazo, ukiona kimya we soma tena hii meseji"
 
Huyu mlevi lazima atakuwa mwanasiasa!
 
Duuuh,nimejifunza kitu hapo.
 
weee unamsema mwenyekiti wa tume yetu ehhh
 
Mlevi katuma meseji kwa mke wake
"Darling nipo bar napata mbili tatu, nitarudi nyumbani ndani ya dk 50 zijazo, ukiona kimya we soma tena hii meseji"

Walevi wana akili sana , asiye mnywaji hawezi jibu hvyo.
 
Back
Top Bottom