Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta eneo la makaburi.
Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali? Mlevi mmoja akauliza 'Je Kuna Marehemu yeyote aliyewahi kutoroka'?
Kama hakuna, ukuta wa nini sasa?'...
Au ndo ufisadi hadi kwenye makaburi?