Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,109
- 16,681
akiwa na furaha analewa
akiwa na huzuni analewa
akipata pesa analewa
akikosa pesa analewa
akiwa na mawazo analewa
asipokuwa na mawazo analewa
akiwa na matatizo analewa
asipokuwa na matatizo analewa
akipata kazi analewa
akifukuzwa kazi analewa
akipata gari/nyumba analewa
akipata mtoto analewa
akipandishwa cheo analewa
akishushwa cheo analewa
timu yake ikifungwa/ikishinda analewa
akisemwa analewa
akishiba analewa
akiwa na njaa analewa
akipata ajali analewa
akipigwa analewa
akioa analewa
akiaachwa analewa
akiwa na huzuni analewa
akipata pesa analewa
akikosa pesa analewa
akiwa na mawazo analewa
asipokuwa na mawazo analewa
akiwa na matatizo analewa
asipokuwa na matatizo analewa
akipata kazi analewa
akifukuzwa kazi analewa
akipata gari/nyumba analewa
akipata mtoto analewa
akipandishwa cheo analewa
akishushwa cheo analewa
timu yake ikifungwa/ikishinda analewa
akisemwa analewa
akishiba analewa
akiwa na njaa analewa
akipata ajali analewa
akipigwa analewa
akioa analewa
akiaachwa analewa
labda afe ndio hatolewa
waomboleza watalewa kwenye msiba wake hakuna namna
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]