Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Kuna jamaa alilewa wakati anaelekea nyumbani kwake pombe zilimzidi na kulala kwenye jiwe kichakani akifikiri yupo kitandani na mkewe kumbe bwana alipokuwa alikuwepo chui jamaa akawa anavuta sharubu za chui akifikiri blanket mara akawa anashangaa blanket alijivuti akafikiri ni mkewe anamnyima blanket akampiga bonge la kofi kumbe amempiga chui kofi ndipo chui alipo unguruma kwa hasira mlevi kugundua ni tiger ulevi wote ulimwisha alikimbia 10km bila kuangalia nyuma kufika nyumbani kwake akawa analia chui chui chui majirani na mkewe wamekuja pale chui yuko wapi wewe kumbe chui alichoka nakuamua kuachana na jamaa unajua mlevi alisemaje watch out part 2