Mlevi na MUNGU...!!!

Mlevi na MUNGU...!!!

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,988
MLEVI mmoja aliwaambia wenzake 'Jamani nina wasiwasi, nahisi mimi ni Mungu'. Wakamuuliza kwa nini unahisi hivyo?

Akajibu! Jana ile kufika nyumbani tu mke wangu akasema MUNGU WANGU, umelewa tena?

Nikawatukana majirani wakanipeleka kituo cha Polisi, ile kufika tu mkuu wa kituo akasema MUNGU WANGU umeletwa tena?

Jioni hii nimekuja hapa baa, wahudumu walivyoniona tu wakasema MUNGU WANGU umekuja tena!
Ndiyo maana nina mashaka kuwa huenda mimi nikawa ndiyo Mungu!!!"
 
Mkuu usimtumie mwenyezi Mungu ktk mambo ya utani!Unakosea unatakiwa ulitaje jina lake kwa heshima na mahali panapostahili lakini siyo hapa.Ni hilo tu!
 
MLEVI mmoja aliwaambia wenzake 'Jamani nina wasiwasi, nahisi mimi ni Mungu'. Wakamuuliza kwa nini unahisi hivyo?

Akajibu! Jana ile kufika nyumbani tu mke wangu akasema MUNGU WANGU, umelewa tena?

Nikawatukana majirani wakanipeleka kituo cha Polisi, ile kufika tu mkuu wa kituo akasema MUNGU WANGU umeletwa tena?

Jioni hii nimekuja hapa baa, wahudumu walivyoniona tu wakasema MUNGU WANGU umekuja tena!
Ndiyo maana nina mashaka kuwa huenda mimi nikawa ndiyo Mungu!!!"

Duuuuh...
Umeleta tena huu uzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom