Pombe si chai
Mkiambiwa ulevi si togwa hamsikii.
Mkuu ndoa za dizaini hii huwa hawakubali kuachanishwa tena ukilazimisha basi baada ya muda mfupi hurudiana na kuwapa ubaya walio waachanisha , wengine hufikia kusema kuwa wanaonewa gele.Hata kama mama mkwe alikuwa anapewa malalamiko na kuyapuuzia sasa mama mkwe amepata ushahidi kamili, hakuna mume hapo wawaachanishe ndio suluhisho
Mkuu ndoa za dizaini hii huwa hawakubali kuachanishwa tena ukilazimisha basi baada ya muda mfupi hurudiana na kuwapa ubaya walio waachanisha , wengine hufikia kusema kuwa wanaonewa gele.
Wanatia huruma lkn wao hawajihurumii hata kidogo sana sana ukiwaonyesha wanavyokua abused watakuchukia na kukwambia unawaletea mambo ya kizungu. Mara nyingi anaeishi na mtu dizaini hii huwa nae anaathirika kisaikolojia.Hakuna kazi nzito kama kuishi na mlevi. Nawahurumia sana wanawake wanaoishi ni mijamaa kama hii.
Kama alikuwa amelewa kiasi hicho amewezaje kukimbia? Huyo ni mwongo. Alikusudia baada ya kumkosa mkewe.
Wanatia huruma lkn wao hawajihurumii hata kidogo sana sana ukiwaonyesha wanavyokua abused watakuchukia na kukwambia unawaletea mambo ya kizungu. Mara nyingi anaeishi na mtu dizaini hii huwa nae anaathirika kisaikolojia.
Mlevi mmoja maarufu kwa jina la Kanzaga anayeishi ktk mji mdogo wa Runzewe uliopo ktk barabara kuu ya Kahama to Rwanda leo majira ya saa 5 asubuhi amejikuta akifanya tukio ambalo hakutarajia.
Kanzaga ambaye kwa muda mrefu amekuwa kila akilewa anampiga na kumnyanyasa mkewe leo aliwasili nyumbani kwake mida ya saa 5 akiwa katoweka nyumbani kwa zaidi ya wiki nzima,alipofika nyumbani kama kawaida yake aliingia ndani na kumkuta mama mkwe wake akiwa kajilaza kwenye mkeka sebuleni,Kanzaga akang'aka "wewe mwanamke umelala badala ya kunipikia sasa nakumiminia dawa uendelee kulala zaidi"ndipo akachojoa suruali yake na kuanza kumkojolea mama mkwe wake akidhani ni mkewe kama alivyozoea kumtesa,ile mkojo unashuka tu,mama wa watu akashtuka na kuamka,kuona sura ya mzaa chema wake aliyezoea kumtesa Kanzaga akatimua mbio kali huku dudu lake likiwa nje ya suruali.
Navyoandika nipo Runzewe hadi sasa Kanzaga hajarudi nyumbani na hajulikani alipo.
Sio kitu cha ajabu kwenye nchi yenye watu takriban mil 45.Mlevi mmoja maarufu kwa jina la Kanzaga anayeishi ktk mji mdogo wa Runzewe uliopo ktk barabara kuu ya Kahama to Rwanda leo majira ya saa 5 asubuhi amejikuta akifanya tukio ambalo hakutarajia.
Kanzaga ambaye kwa muda mrefu amekuwa kila akilewa anampiga na kumnyanyasa mkewe leo aliwasili nyumbani kwake mida ya saa 5 akiwa katoweka nyumbani kwa zaidi ya wiki nzima,alipofika nyumbani kama kawaida yake aliingia ndani na kumkuta mama mkwe wake akiwa kajilaza kwenye mkeka sebuleni,Kanzaga akang'aka "wewe mwanamke umelala badala ya kunipikia sasa nakumiminia dawa uendelee kulala zaidi"ndipo akachojoa suruali yake na kuanza kumkojolea mama mkwe wake akidhani ni mkewe kama alivyozoea kumtesa,ile mkojo unashuka tu,mama wa watu akashtuka na kuamka,kuona sura ya mzaa chema wake aliyezoea kumtesa Kanzaga akatimua mbio kali huku dudu lake likiwa nje ya suruali.
Navyoandika nipo Runzewe hadi sasa Kanzaga hajarudi nyumbani na hajulikani alipo.
Sio kitu cha ajabu kwenye nchi yenye watu takriban mil 45.