poleeeeee sanaaa.Kule ki hakukutana na combination ya kina mayele plus morison
Kafunga bao 1 zuri na safiii mnoo.Pole ya nn sasa ...
Hivi hujajigundua kuwa wewe ni zwazwa? Angalia uzi huu ulivyojaza post zako za kijinga hadi watopolo wenzako wanakupotezea.Lile goli....hata wew ungefunga tu..... mzunguuuuuu kufunga bila kipa kuwepo golini
Kwani ulitaka kipa afanyejeee? Ndo ashafunga sasaa.Lile goli....hata wew ungefunga tu..... mzunguuuuuu kufunga bila kipa kuwepo golini
Poleeeeeeeh Mzunguuu kawakalishaaaa,Nadhan magoli ya Mayele ...umeyaona
Dah nchi ilikuwa ya moto balaamzungu kumbe alipitia mengii ndio maana alikimbia nchi
Sikujua kama walikuwa wanamuedit hivyo,nimechekaaDah nchi ilikuwa ya moto balaa
Hakika aliteseka🤣Mzungu aliupiga mwingi
Mudy kashtuka mnampiga,anawapa mzigo mnaminya alafu ,naenda kukusanya viazi vibovu kariakoo.Ngoja tuongee na mudi