Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Haueleweki,,,
aliyeleta hilo balaa ni tupac shakur RIP.
kuna tabia naona
inakuwa kwa kasi kubwa sana na hii ni uvaaji wa suruali katikati ya
makalio kwa vijana wa kiume.hii ni fashion za kuonyesha boxer? au ni
tabia za kuiga?coz sio kwa wanamuziki na vijana wa mitaani tuu, hata
vijana kwenye maofisi siku hizi suruali zafungiwa kati ya
makalio.
aliyeleta hilo balaa ni tupac shakur RIP.
Unasema????? Kama sijaiona comment yako vizuri.