Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

Naombeni Kwa ridhaa yenu nilete picha ya tundu la Choo ili tuweze kujadili Kwa mapana na marefu
Achana nalo litatuongezea stress tu!nakumbuka nikiwa na 9yrs nilisafiri kwenda Namtumbo,kuingia chooni nakuta vigunzi kibao,halafu shimo lenyewe limejengwa na miti miti halafu limekaa Kuna mafinyofinyo nilitoka ndukiii sana,nilishindwa kujisaidia
 
Hayo ndiyo tunayoyaweza Watanganyika.
Tembeeni vifua mbele.
 
Kwa hayo uloandika...
Basi nimeishaa!!! Maana choon kwangu nakaa masaa mengi.
With a serious note...me nadhan watu wengi wana anguka chooni, Kwa sababu ventilation sio kubwa, so automatically Kama ukiwa unatatizo ni rahis kupata madhara coz air supply inakuwa ndogo...so it's easy kuanguka chooni kuliko sebuleni...
Scientists watusaidie ....
 

Miafrika inahangaika na ujinga mwingi sana ndo maana imedumaa kikakili. Mtu mwenye akili timamu huwezi chagua mguu wa kuingilia chooni. Mimi mpaka tv nmeweka chooni. Ni pasafi kinyama.
 
Mm nikiingia chooni ni lazima niwe na simu na hua sio chini ya dkk 30 ndo natoka.
mtaalamu wetu, safi sana, hata avatar yako inajieleza wewe ni wa sehemu hizo sana tu, na umekubuhu kabisa.

Licha ya kwamba ulitoka bafuni na sabuni, baada ya cm kuita sebuleni na ukiwa umesahau kufuta meseji na picha ngumu ngumu sana za mpango wa kando 🐒
 
Nikienda kuoga Hua sibebi Siku mana mikono inakuwa busy tofauti na nikiwa chooni ndo mana ilivoita tuu ikabidi nitoke na povu
 
Imani lazima imbalance na akili kwenye maamuzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…