Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,854
Mimi naweza kupa maelekezo toa hiki eka hiki na sema maneno fulani ukatokea kuzimu!!Ee jamani 🙄
Kaka wewe umetanguliza akili mbeleMtu mweusi ni binaadamu ambaye bado hajakamilisha process ya ukuaji na kuwa binaadamu kamili. Dunia ingekua imejaa watu weusi sidhani kama leo tungekuwa na kitu kiitwacho teknolojia
NakaziaUnatufokea? Ondoa capital letters
Una piga selfie na mzimu wa mtoa madaMm nikiingia chooni ni lazima niwe na simu na hua sio chini ya dkk 30 ndo natoka.
Kama kinaitwa choo tiyari katika ulimwengu wa roho ni mamlaka kamili?We choo unachukuliaje? Au unadhani kila mtu anatomia choo cha kulenga kuchambia gunzi
Chooni ni sehemu ya kustarehe kidogo
Utajua wewe 🤨Mimi naweza kupa maelekezo toa hiki eka hiki na sema maneno fulani ukatokea kuzimu!!
But I don't trust you