Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Nauza mlango wa kioo wenye frem za mbao unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k
Urefu ni futi 6
Upana futi 5.4
Mlango umetumika kwa miezi miwili, baada ya frem kubadiliahwa matumizi nimeutoa hivyo nauuza.
Bei: 160,000TZS
Mazungumzo yatakuepo.
Niko Pugu-Dar es salaam
Mawasiliano PM
Tazama picha hapa chini: