Mlango wa duka unapangishwa sinza

Mlango wa duka unapangishwa sinza

sister act

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
38
Reaction score
15
Ni duka la nguo, Sinza mapambano.mwenye duka kapata uhamisho kikazi. Lina ac..kabati kubwa la alminium. Mlango mzuri wa kioo. Kwa anaetaka ani pm. Falame kwa mwezi ni laki moja tu!vitu vilivyomo ni maelewano.
 
Hello Sister act, mind if you check me on 0762829505 kuna mtu anaulizia.
 
Ni duka la nguo, Sinza mapambano.mwenye duka kapata uhamisho kikazi. Lina ac..kabati kubwa la alminium. Mlango mzuri wa kioo. Kwa anaetaka ani pm. Falame kwa mwezi ni laki moja tu!vitu vilivyomo ni maelewano.

Sinza sehm gani, chumba kina ukubwa gani? anaweza kutoa chumba pekeyake bila huo mzigo?
 
sinza mapambano. Ukubwa sijapima ila pakubwa sana! 100,000 kwa mwezi . Malipo ni mwaka.

Kama zile Frem za BLUE opposite na Ufishi Supermarket au Karibu na Shengen Hazifai zile yaani kama zina gundu hvi, ndugu yangu alipanga pale mwaka mzima hata pesa ya kodi aikurudi na mtaji uliteketea wote.. wateje wanapita kama hawaoni kitu

 
Ile sehemu kwa biashara ya nguo haifai...... binafsi sijawahi kuvutiwa kwenda pale .....
 
Hakuna biashara hapo wateja watoke wapi? au wageni wanaolala Double View Hotel? maana ni ndani sio kandokando ya barabara ya shekilango ambako pia hakuna biashara
 
Back
Top Bottom